Mhe. Selasini, nakuomba uhamie ACT-Wazalendo

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
248
327
Najua huko ulipo sasa hauna amani kwa kuwa hawaendani na kile ambacho umekuwa ukikisimamia siku zote: "Kukosoa kwa hoja na busara bila kutukana".

Yawezekana wengi wanakushauri uende CCM, lakini ukweli ni kuwa nchi hii bado inahitaji sana wapinzani hasa wa aina yako na Mh. James Mbatia.

Hamtukani, hamna jazba, mnasimamia hoja kwa maslahi ya Taifa.

Ni Ushauri tu
#UsinijibuHivyo

IMG-20200224-WA0020.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo ACT hakuna matusi?Unayatafsiri vipi matusi?Inaonekana una uccm unakusumbua ndugu kwamba zitto kabwe na maalim hawana matusi ati Chadema ndio wana matusi?Sema labda ahamie ACT kwa maana huko hatasumbuliwa tena na polisi kuliko akiwa CDM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafurahi Sana kuwa ccm kumejaa wapigania tumbo wanaosubiri teuzi na kupita bila kupingwa kitu ambacho hakitakuwepo mwaka huu. Ule mwisho umekaribia maana kitu chochote kikikuwa kiasi hicho lazima kife kwa graph ya boom and burst. Wenzangu mmenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua huko ulipo sasa hauna amani kwa kuwa hawaendani na kile ambacho umekuwa ukikisimamia siku zote: "Kukosoa kwa hoja na busara bila kutukana"

Yawezekana wengi wanakushauri uende CCM, lakini ukweli ni kuwa nchi hii bado inahitaji sana wapinzani hasa wa aina yako na Mh. James Mbatia.

Hamtukani, hamna jazba, munasimamia hoja kwa maslahi ya Taifa.

Ni Ushauri tu
#UsinijibuHivyo


Sent using Jamii Forums mobile app

Aende CCM kabisa!

Why be a monkey,be a gorilla kabisa!
 
Back
Top Bottom