Mhe. Pinda aahirisha Bunge hadi Juni 12, 2012

wana jf imekwenda ndivyo sivyo. Jamaa kagoma kuwajibika. Tutegemee nini?
 
namuona PM anamalizia speech yake ya kuahirisha bunge bila kugusia suala la ufisadi serikalini kwa mujibu wa report ya CAG.
 
Hii ni zarau jamani chozi linanitoka,. Tanzania yangu tumekukosea nini watanzania,. E mungu mbona umetuchukia watanzania hivi,, aaaaa
 
Hii ni aibu kubwa kwa wabunge na Pinda mwenyewe. Haiwezekani mambo yako hovyohovyo alafu bunge linaahirishwa kienyejikienyeji. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom