Mhe. Magufuli kwa hili hatupo pamoja

binafsi, huyu mzee simkubali kabisa. Ana kiherehere tu,na mtu wa kupenda sifa machoni kwa watu huku akiwakandamiza walio chini yake...pia ni just another fisadi. Muda ukifika atakapotaka kwenda ikulu tutayaweka bayana wananchi wamjue.

inashangaza kuona makosa na gharama ya ama wizara husika,ama halmashauri ama manispaa husika wanabebeshwa wananchi walalahoi pekee; kwani hao waliotoa vibali wako wapi? kwanini na wao wasiwajibishwe? mnaogopana eeh

kwasababu mtu unakuta ana file lililopita kwa viongozi husika wote, kalipa kodi zote..eti ghafla barabara inapita chumbani kwake?! Jamani..au kwakuwa yeye ndio analala hapo, na nyie mnalala huko mnapolala
You are entitled to your own opinion ila mzee kama wewe haumkubali basi ni wewe mwenyewe but to other he's doing a great job na kama ana kasoro ni za kibinadamu lakini all in all i appreciate whatever he's doing, sidhani kama ana kiherere na kupenda sifa kama alivyo Mkwere
 
binafsi, huyu mzee simkubali kabisa. Ana kiherehere tu,na mtu wa kupenda sifa machoni kwa watu huku akiwakandamiza walio chini yake...pia ni just another fisadi. Muda ukifika atakapotaka kwenda ikulu tutayaweka bayana wananchi wamjue.

inashangaza kuona makosa na gharama ya ama wizara husika,ama halmashauri ama manispaa husika wanabebeshwa wananchi walalahoi pekee; kwani hao waliotoa vibali wako wapi? kwanini na wao wasiwajibishwe? mnaogopana eeh

kwasababu mtu unakuta ana file lililopita kwa viongozi husika wote, kalipa kodi zote..eti ghafla barabara inapita chumbani kwake?! Jamani..au kwakuwa yeye ndio analala hapo, na nyie mnalala huko mnapolala

Hata kama humkubali lakini kwa kweli tungekuwa nao watano wa namna hii, heshima ya serikali hii ingepaa kwa namna ya ajabu. Kuna wakati unahitaji watu pragmatic kama huyu. Mungu ambariki kwa kweli!
 
Huyu ni mmoja wa mawaziri wachapa kazi mwacheni afanye kazi yake kama alivyoona inafaa.. Labda tu kwa kuwa na ubunifu na ukali kidogo wale watu wa ardhi wasimamishwe kazi mara moja..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom