16 December 2021
Abu Dhabi, UAE

FEDHA ZAIDI ZA KUKAMILISHA MRADI MZIMA WA UJENZI WA RELI MPYA SGR ZASAKWA

Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba na ujumbe wake wapo Abu Dhabi UAE kusaka fedha za kugharamia miundo mbinu ikiwemo michepuko ya mtandao wa reli mpya SGR kama kipande cha Tabora Kigoma n.k ( Source ITV Tanzania news)
Source : Kwa kirefu : (Habari na Picha ,Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - Wizara ya Fedha na Mipango-Abu Dhabi)

……………………………………………….

Na Benny Mwaipaja, Abu Dhabi

SERIKALI ya nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu ya Abu Dhabi imeahidi kuendeleza ushirikiano katika masuala ya kiuchumi na kijamii na Serikali ya Tanzania ili kuwaletea wananchi wake maendeleo.

Ahadi hiyo imetolewa mjini Abu Dhabi, Falme za Nchi za Kiarabu na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri anayeshughulikia masuala ya Rais, Sheikh Mansour bin Zayed Al Nanyan, baada ya kupokea ujumbe maalum kutoka kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uliowasilishwa kwake na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Ikulu ya nchi hiyo.

Akizungumza baada ya mazungumzo yao ya faragha, Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alisema kuwa Sheikh Mansour ameahidi kutuma ujumbe maalum nchini Tanzania kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa hivi sasa na mingine mipya kwa ajili ya kutoa fedha.

Dkt. Nchemba aliitaja miradi iliyowasilishwa kwa Serikali ya Abu Dhabi kuwa ni ile ya uendelezaji wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha Nishati ya Umeme wa Mwalimu Julius Nyerere JNHPP Rufiji, ujenzi wa miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege, kilimo na uvuvi pamoja na elimu.

“Kwenye sekta ya elimu tumejenga madarasa mengi, tumejenga vituo vya afya vingi sana na vingine viko vijijini lakini hatujajenga nyumba za watoa huduma wanaotakiwa kufanyakazi kwenye maeneo hayo” alisema Dkt. Nchemba.
Pia waziri huyo wa fedha wa Tanzania alifika katika Kasri ya Al Watan (Qasr Al Watan) na kuwasilisha Salaam kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenda kwa mwana wa mfalme wa Abu Dhabi His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan aliye pia naibu amiri jeshi mkuu wa majeshi (Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces).

medium_2021-12-16-b52b50b51d.jpg

His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces, received a written message from Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania, regarding the development of relations between the two countries.
The message was received by His Highness Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan, Deputy Prime Minister and Minister of Presidential Affairs, when His Highness received today at Qasr Al Watan His Excellency Mwigulu Nchemba, Minister of Finance and Planning of Tanzania.
During the meeting between His Highness and the Tanzanian delegation, they discussed the friendly relations between the UAE and Tanzania, development opportunities, economic partnership and enhancing trade exchange between the two countries .

Source : Mohamed bin Zayed receives Tanzanian President's note
 
16 December 2021
Abu Dhabi, UAE

FEDHA ZAIDI ZA KUKAMILISHA MRADI MZIMA WA UJENZI WA RELI MPYA SGR ZASAKWA

Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba na ujumbe wake wapo Abu Dhabi UAE kusaka fedha za kugharamia miundo mbinu ikiwemo michepuko ya mtandao wa reli mpya SGR kama kipande cha Tabora Kigoma n.k ( Source ITV Tanzania news)

Pia waziri huyo wa fedha wa Tanzania alifika katika Kasri ya Al Watan (Qasr Al Watan) na kuwasilisha Salaam kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenda kwa mwana wa mfalme wa Abu Dhabi His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan aliye pia naibu amiri jeshi mkuu wa majeshi (Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces).

medium_2021-12-16-b52b50b51d.jpg

His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan, Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces, received a written message from Her Excellency Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania, regarding the development of relations between the two countries.
The message was received by His Highness Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan, Deputy Prime Minister and Minister of Presidential Affairs, when His Highness received today at Qasr Al Watan His Excellency Mwigulu Nchemba, Minister of Finance and Planning of Tanzania.
During the meeting between His Highness and the Tanzanian delegation, they discussed the friendly relations between the UAE and Tanzania, development opportunities, economic partnership and enhancing trade exchange between the two countries .

Source : Mohamed bin Zayed receives Tanzanian President's note
Heee...! Kazi iendelee kwa namna hii. Sio kudhibita matumiA ya serikali kama alivyofanya JPM
 
Heee...! Kazi iendelee kwa namna hii. Sio kudhibita matumiA ya serikali kama alivyofanya JPM

Naona vyanzo vya ndani vya fedha havikidhi miradi mingi mikubwa ya kimkakati iliyoanzisha kwa mkupuo mmoja ndani ya awamu ya 5 ya mwendazake rais John Pombe Joseph Magufuli.

Sasa inabidi nchi na serikali kwenda nje kutafuta fedha kuweza kukamilisha miradi hiyo mikubwa ikiwemo huu wa SGR reli mpya .

Toka Maktaba
16 December 2021

Abu Dhabi, UAE

FEDHA ZAIDI ZA KUKAMILISHA MRADI MZIMA WA UJENZI WA RELI MPYA SGR ZASAKWA

Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba na ujumbe wake wapo Abu Dhabi UAE kusaka fedha za kugharamia miundo mbinu ikiwemo michepuko ya mtandao wa reli mpya SGR kama kipande cha Tabora Kigoma n.k ( Source ITV Tanzania news)

Pia waziri huyo wa fedha wa Tanzania alifika katika Kasri ya Al Watan (Qasr Al Watan) na kuwasilisha Salaam kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan kwenda kwa mwana wa mfalme wa Abu Dhabi His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan aliye pia naibu amiri jeshi mkuu wa majeshi (Crown Prince of Abu Dhabi and Deputy Supreme Commander of the Armed Forces).

medium_2021-12-16-b52b50b51d.jpg

Waziri Mwigulu Nchemba na mwana wa mfalme Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahya wa UAE.
 
20 December 2021
Mpanda, Tanzania

Waziri Mwita Waitara atoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu TRC kumpa ripoti vya stesheni zote

Hii ni baada ya kuona stesheni muhimu ya kimkakati ya Mpanda ikiwa na hali mbaya sana kukiwepo uvundo mkali na hewa nzito kufuatia maghala na ofisi za TRC Mpanda paa zake kuvuja, mizigo, magunia ya mahindi kuloa mvua na eneo la yadi pia stesheni kuzungukwa na madimbwi ya maji yaliyotuama . Pia mbunge wa Mpanda Bw. Kapufi alishawashilisha malalamiko TRC kuhusu miundombinu ya TRC. Hivyo naibu waziri huyo ametoa ahadi kufuatulia miundombinu na stesheni zote za TRC na kusema hali aliyoikuta Mpanda ni uzembe wa hali ya juu.

Source : Site TV online.
 
23 December 2021

Naibu waziri wa uchukuzi Mh. mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya abaini changamoto za kipande cha Dar - Moro reli mpya ya SGR

Changamoto hizo mbalimbali zitafanya majaribio ya kupitisha treni kamili ktk kipande cha Dar Moro kusogezwa yaanze mwezi February - April 2022.

Source : TRC RELI TV
 
20 December 2021
Mpanda, Tanzania

Waziri Mwita Waitara atoa siku 14 kwa Mkurugenzi Mkuu TRC kumpa ripoti vya stesheni zote

Hii ni baada ya kuona stesheni muhimu ya kimkakati ya Mpanda ikiwa na hali mbaya sana kukiwepo uvundo mkali na hewa nzito kufuatia maghala na ofisi za TRC Mpanda paa zake kuvuja, mizigo, magunia ya mahindi kuloa mvua na eneo la yadi pia stesheni kuzungukwa na madimbwi ya maji yaliyotuama . Pia mbunge wa Mpanda Bw. Kapufi alishawashilisha malalamiko TRC kuhusu miundombinu ya TRC. Hivyo naibu waziri huyo ametoa ahadi kufuatulia miundombinu na stesheni zote za TRC na kusema hali aliyoikuta Mpanda ni uzembe wa hali ya juu.

Source : Site TV online.
Tuna alibaki yetu ya makanikia mil 200. Ziko wapi? Tulishapewa mil 100. Barack
 
23 December 2021

Naibu waziri wa uchukuzi abaini changamoto za kipande cha Dar - Moro reli mpya ya SGR

Changamoto hizo mbalimbali zitafanya majaribio ya kupitisha treni kamili ktk kipande cha Dar Moro kusogezwa yaanze mwezi February 2022.

Source : TRC RELI TV

Ni February twentitwenti Tena.
Yule mwanamuziki ambaye maelekezo ya nyimbo zake yanapuuzwa na kila mtu aliimba itakua agasti mwaka huu.
Mwanamuziki huyo aliwahi kuimba reli imekamilika kwa asilimia 90
 
23 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

UVIKO (COVID) ni moja ya changamoto kubwa kukamilisha vipande vya SGR

Mhandisi Simon Mbaga meneja-mradi wa ujenzi kipande cha reli SGR cha Dar - Morogoro azungumzia kwa kina maendeleo na changamoto katika utekelezaji wa ujenzi na ukamilishaji wa mradi mkubwa wa reli mpya ya kisasa SGR baada ya ziara ya naibu waziri wa Uchukuzi na Ujenzi mhandisi Godfrey Msongwe Kasekenya mwezi huu wa December 2021 kuchagiza kazi iendelee kwa kasi ili angalau kipande cha ..... vifaa vinatoka Canada, ..., Uturuki n.k ambapo pia wamekumbwa na ....
Source : millard ayo
 
28 December 2021

Ujenzi Kipande cha Makutupora mpaka Tabora Reli Mpya SGR unaogharimu U$1.9 bilioni wapewa Yapi Merkezi ya Uturuki

Kampuni ya kutoka nchini Turkey ya Yapi Merkezi leo tarehe 28 December 2021 imetia saini kujenga kipande cha kilometa 368 km cha standard gauge railway kati ya Makutopora na Tabora kitachogharimu serikali ya Tanzania fedha za kigeni dola za Marekani $1.9 billion. Mh. Rais Samia Hassan asema fedha kugharamia kipande hicho zitatokana na mkopo wa gharama nafuu toka nje ya nchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan asisitiza viwango ujenzi wa SGR Reli visichezewe

Source video: Global TV online

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba serikali yake itaendelea kukopa kwa lengo la kumaliza na kuikamilisha miradi yote ya maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Desemba 28, 2021, jijini Dar es Salaam, mara baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini mkataba wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) awamu ya tatu kipande cha Makutupora hadi Tabora.

Rais Samia amesema serikali itaendelea kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa nchi wahisani, ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) ambao mpaka sasa gharama za ujenzi wake zimefikia shilingi trilioni 14.

Amesema tayari ameiagiza wizara ya ujenzi na uchukuzi kukamilisha utaratibu wa manunuzi ili kumpata mkandarasi wa reli ya Tabora- Isaka na Tabora- Kigoma na baadaye Kaliua-Mpanda mpaka Kalema.

“Leo hii tumekusanyika hapa kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha kutoka Makutupora hadi Tabora, KM 368 na mkataba huu una thamani ya Tsh trilioni 4.41 ukijumuisha na kodi ya ongezeko la thamani.

“Uwekezaji mpaka sasa hivi ni Tsh tril 14.7 tusipoendelea na ujenzi wa reli tukakamilisha fedha hizi tulizozilaza chini zitakuwa hazina maana kwa njia yoyote tutakopa sababu fedha hizi hatutazitoa kwenye tozo, wala kodi tunazokusanya ndani",
amesema

Kazi ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ni kazi kubwa yenye kuhitaji uthubutu mkubwa wa Serikali na wananchi, nitumie fursa hii kuwapongeza Watanzania wote kwa mafanikio haya.
 
Tanzania signs $1.9 bln railway contract with Turkish firm​

| Tue, 28 Dec 2021 12:12:45 GMT

DAR ES SALAAM, Dec 28 – Tanzania on Tuesday signed a contract with Turkish firm Yapi Merkezi to build a 368 km section of standard gauge railway that is expected to cost $1.9 billion and will be funded by loans.

It is part of a 1,219 km line which Tanzania is building to help boost trade with neighbouring countries and Yapi Merkezi is already building two other sections which are near completion.

The section announced on Tuesday will link Makutopora with Tabora, two towns in the country’s central region, Masanja Kadogosa, director general of Tanzania Railway Corporation (TRC), said in a televised ceremony.

The full line will connect Tanzania’s Indian Ocean port and commercial capital of Dar es Salaam with Mwanza, a port city on the shores of Lake Victoria which straddles the borders of Tanzania, Uganda and Kenya.

President Samia Suluhu Hassan said at the ceremony that Tanzania would borrow to finance the project.

“We will find friendly loan facilities and the best ways to get loans. We won’t get this money from levies or from domestic taxes,” she said, adding they were giving priority to the project because it connects Tanzania to its regional neighbours.

The east African country is currently implementing mega infrastructure projects to support its industrialisation plans including a controversial 2,115 megawatt hydroelectric dam being built in a UNESCO world heritage site.
 
11 December 2021​

Tanzania to Get $3 Billion in Loans, Grants From Arab Lender​

Bloomberg News
Fumbuka Ng'wanakilala
Publishing date:
Dec 11, 2021 • Last Updated December 11, 2021 • < 1 minute read

(Bloomberg) — Arab Bank for Economic Development in Africa agreed to provide Tanzania with loans and grants totaling $3 billion over the next five years, according to the East African nation’s finance ministry.

The decision was reached following talks between Tanzania’s Finance Minister Mwigulu Nchemba and the lender’s Director-General Sidi Ould Tah. The financing is for projects including roads, energy, education, agriculture and private companies’ capacity-building programs.
 
09 JANUARY 2022

KADOGOSA: UONGO UKISEMWA SANA UNAONEKANA KAMA UKWELI, "TUNAJENGA KWA GHARAMA NAFUU KULIKO WENGINE"

Source : TRC RELI TV
 
15 January 2022

LILIPOFIKIA HANDAKI NAMBA 2 NA DARAJA REFU LA KIPANDE CHA PILI CHA SGR

Mhandisi aelezea changamoto za kiujenzi mfano kuchimba kina cha mita 38 kufikia mwamba ili kuweka nguzo za kubeba uzito wa daraja n.k
Source : TRC RELI TV
 
16 January 2022

AJALI YA TRENI RELI YA MGR , BEHEWA 5 ZAPINDUKA, MTU MMOJA AFARIKI, WENGINE WAJERUHIWA..

Taarifa rasmi ikinukuliwa kutoka kitengo cha mahusiano cha Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa Treni ya abiria yenye injini namba 9022 imepata ajali majira ya saa 10 Alfajiri kati ya Mkalamo na Mvave Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga January 16, 2022 ikiwa inatokea Arusha kuelekea Dar es salaam ikiwa na behewa 14 zenye abiria 700 ambapo behewa 5 zilipinduka na nyingine 4 ziliacha njia na kupelekea majeruhi watano na kifo cha Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka saba. Shirikala la Reli limesema linaendelea kufuatilia kwa ukaribu kufahamu chanzo cha ajali hiyo ili kuchukua hatua.

Habari ya ziada :

17 January 2022

TRC wazungumzia ajali iliyoua wawili Tanga

Uongozi Shirika la Reli Tanzania,(TRC) umesema umeanza uchunguzi kufuatilia kujua chanzo cha ajali ya treni iliyotokea kijiji cha Mkalamo kwenye mpaka wa wilaya ya Handeni na Pangani juzi na kusababisha vifo vya watu wawili ambae ni mama mjamzito na mtoto. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Mhandisi Masanja Kadogosa akiwa eneo la tukio na kusema kuwa wameshitushwa na ajali hiyo,kwani sio jambo la kawaida kwa Treni ya abiria kupata ajali kwenye mazingira kama hayo,hivyo utafanyika uchunguzi kuona ni kitu gani kimesababisha mpaka kutokea ajali na kusababisha vifo na majeruhi.
 
..hivi gharama za ujenzi wa mradi wa SGR ni kiasi gani?

..na kati ya gharama hizo ni kiasi gani kitatokana na fedha za ndani, na kiasi gani ni mikopo.

..Na mpaka sasa hivi tumekuwa wapi na kwa masharti gani?
 
Gharama imezidi ule mkopo wa China ambao JK alitaka uchukua ambao ulikua 7 bil usd
 
17 January 2022

RELI MPYA YA SGR KUTOKA UVINZA MSONGATI TANZANIA MPAKA GITEGA BURUNDI KISHA KUINGIA DR CONGO

Prof. Mbarawa Makame waziri wa ujenzi aelezea umuhimu wa ujenzi wa reli hiyo kuunganisha Burundi na bandari ya Dar es Salaam. Reli hiyo ya Uvinza Malagarasi kilometa 156 mpaka mpakani na Burundi na itakuwa ya mtandao wa SGR unaoendelea kujengwa . Mradi mzima azma yake ni kuiunganisha bandari ya Dar es Salaam , Tanzania na Burundi pia mashariki ya nchi ya DR Congo kwa mtandao wa reli ya SGR the central corridor Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura- mpaka eneo la Uvira na Kindu yaliyopo katika jimbo la Kivu Kusini (Sud Kivu) nchini DR Congo.

Source : Mashariki TV

Hapo awali / early on

27 October 2020
Uvinza Msongati Gitega DR Congo railway ( English)

The planned railway line will depart from Uvinza district to Kigoma in Tanzania, via Musongati, Gitega and extends to the east of the Democratic Republic of Congo.

Its execution budget is estimated at $6400 million for both lines Uvinza-Musongati ($1,200 million) and Dar-Es-Salaam-Gitega ($5,200 million).
Source : Central corridor

Burundi to connect with Tanzania's Central Railway Corridor

The railway project is expected to connect from Tanzania through the central corridor Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura-Uvira and Kindu will see Burundi’s direct access to the coastline and reduce the cost of doing business in the region. PHOTO|COURTESY
In a presidential decree that was released by Burundi’s president Evariste Ndayishimiye earlier this week formed a committee whose mission is to ensure the sustainability of the project with the National policy, Burundi Times has reported.

The railway project is expected to connect from Tanzania through the central corridor Uvinza-Musongati-Gitega-Bujumbura-Uvira and Kindu will see Burundi’s direct access to the coastline hence reduction the cost of doing business in the region.

“The committee will be able to validate the feasibility studies and specific projects proposed by the technical committee for the monitoring of railway projects in Burundi,” part of presidential decree reads.

The formation of the Railway project committee comes after a tripartite meeting between the transport ministers of DR Congo, Burundi and Tanzania that took place in January 30, 2020 in Bujumbura which led to the signing of an MoU in regards to the implementation of the railway project.

The project is expected to connect Burundi directly to the coastline by the Tanzania Standard Gauge Railway (SGR), “if in place it will fasten the traffic, boost the economy and reduce the price of goods on the markets along the Central Corridor especially for Burundi”, said one of the economists in Bujumbura.

In the region, the East African Community acknowledges the need to rationalise rail development within the region as well as to harmonise road and rail transport operations along the main corridors.

The planned railway line will depart from Uvinza district to Kigoma in Tanzania, via Musongati, Gitega and extends to the east of the Democratic Republic of Congo.

Its execution budget is estimated at $6400 million for both lines Uvinza-Musongati ($1,200 million) and Dar-Es-Salaam-Gitega ($5,200 million).

The committee will, according to the decree signed by the president of the republic of Burundi review and approve the financing plans proposed by the Technical Monitoring Committee. Also it will approve the operating budget of the technical committee for monitoring railway projects in Burundi and mobilize the necessary financing for railway projects.

Source : #Burundi to Connect with #Tanzania's Central Railway Corridor - Railway Business Magazine
 
23 January 2022

KAZI YAANZA KIPANDE CHA KILOMETA 15 KWENYE UJENZI WA RELI YA SGR MWANZA - ISAKA

Kazi hiyo ktk kilometa 15 za mwanzo toka jijini Mwanza kuelekea Isaka, ni kujaza tuta la udongo na pia kuondolewa udongo usiofaa na kujazia udongo utakaohimili kazi ya ujenzi wa reli ya SGR
Source : TRC Reli TV
 
February 2022
Morogoro

SGR RELI MPYA CHANZO ZA MAFURIKO MOROGORO

Wananchi kata ya Lukobe Kilosa Morogoro wataka shirika la reli TRC na serikali kutatua tatizo hilo jipya ambalo halikuwepo kabla ya ujenzi wa miundombinu ya reli mpya kuleta mafuriko ktk makazi yao.

Wananchi hao wamesema reli hiyo mpya ya SGR Reli wanaihitaji lakini pia usalama wa maisha na Mali zao pia wanataka mamlaka husika kutazama changamoto hiyo mpya inayoletwa na ujenzi wa reli hiyo ya SGR .
 
Back
Top Bottom