3 August 2022
Dar es Salaam, Tanzania

Mwenyekiti wa bodi TRC : SGR Reli mpya itasaidia wanaotuzunguka ikiwemo Zambia


Source : TRC RELI TV
 
5 August 2022

KAMPUNI YA MUNONO DR CONGO KUTUMIA RELI YA TRC KUSAFIRISHA TANI 250,000 KWA MWAKA KUPITIA BANDARI ZA TANZANIA



Kampuni ya Australia AVZ minerals limited Manono Project — AVZ Minerals Limited inayochimba madini ya lithium nchini DR Congo machimbo ya sehemu ya Manono, inaangalia uwezekano wa kutumia reli ya kati ya mkoloni kupitia bandari ya Kigoma kisha reli ya kati hadi bandari ya Dar es Salaam. Hayo yamethibitishwa na mkurugenzi mtendaji wa AVZ minerals Bw. Nigel Ferguson.
Source : TRC Reli TV

More info :

11 October 2019

https://www.proactiveinvestors.com.au › ...
AVZ Minerals in fruitful discussions for transport of Manono ...

11 Oct 2019 — AVZ Minerals Ltd (ASX:AVZ) has had positive engagement with Tanzanian Government agencies around the transport of concentrate from ........
There has been a successful outcome from a series of recent meetings with agencies to better understand the current and proposed infrastructure to transport concentrate via the Tanzanian port.

The relevant Government agencies have offered ‘every possible assistance’ to facilitate AVZ’s transport objectives.

Meetings with officials​

AVZ Minerals’ managing director Nigel Ferguson met with high ranking officials from the Tanzania Port Authority, Tanzania Railways Corporation, Tanzania Zambia Railways Authority, Tanzania Revenue Authority and Tanzania’s Export Processing Zones Authority, which is the principal government agency for promoting investments in Tanzania’s special economic zones.

Project issues focused around available capacity, laydown and storage areas at the port and a further range of benefits for AVZ such as tax incentives and exemptions, planned rail and port upgrades should further beneficiation in Tanzania be investigated.

 src=


Nigel Ferguson with Tanzania Deputy Minister for Foreign Affairs Dr Damas Ndumbaro.

“Extremely well received”​

The company’s managing director Nigel Ferguson said: “AVZ Minerals and our world-class Manono Lithium and Tin Project was extremely well received by high-ranking officials from the Tanzanian Government.

“All of the Government officials that I met offered every possible assistance to facilitate the company’s objective of being able to efficiently and cost effectively transport Roche Dure concentrate via the port of Dar es Salaam.

“The company is now working towards securing formal Letters of Intent with the Tanzania Railways Corporation, Tanzania Zambia Railways Authority and Tanzania’s Export Processing Zones Authority around the movement of Roche Dure concentrate.”

Large hard rock lithium project​

Manono is the world’s largest undeveloped hard rock lithium project in terms of grade, mine life and expandability.

The resource is the largest lithium project with the highest grade owned by an ASX listed company, with a measured, indicated and inferred resource of 400 million tonnes at 1.65% lithium oxide, 715ppm tin and 34ppm tantalum. READ MORE : AVZ Minerals in fruitful discussions for transport of Manono concentrate via Tanzania


Mgodi wa zamani nchini RD. Congo : Manono



Historia ya machimbo ya Manono DR. Congo WhyAfrica’s pick of the week is Africa’s tin deposits.
 
7 August 2022
Dodoma, Tanzania

Msemaji Mkuu wa Serikali atembelea mradi ya SGR Reli Mpya kupata habari za maendeleo ya mradi huo mkubwa


Bw. Gerson Msigwa msemaji mkuu wa serikali akiongozana na mkurugenzi mkuu wa TRC Bw. Masanja Kungu Kadogosa wafika maeneo mbalimbali ya mradi huo ambao mpaka sasa umetumia kiasi cha trilioni 16 za shilingi za kiTanzania.

Mradi huu wa ujenzi wa reli SGR Reli Mpya ni wa pili kwa Tanzania, baada ya ule wa Reli ya TAZARA uliojengwa na kukamilika katikati ya miaka ya 1970 chini ya utawala wa Mwalimu Julius Nyerere.

Source : TRC RELI TV
 
UKARABATI WA VICHWA VYA TRENI KWA AJILI YA RELI YA MGR RELI YA MKOLONI


Morogoro karakana kuu yaanza ukarabati wa vichwa 9 vya treni vinavyotumika ktk reli ya mkoloni MGR.

Naibu waziri ujenzi na uchukuzi Mh. Atupele Mwakibete katika ziara yake ameelezewa changamoto za uhandisi na mitambo zilizopo ktk operesheni za huduma za TRC na kuahidi kuzichukua na kusaidia kupatikana ufumbuzi.

Waziri ameelezea umuhimu wa reli ya MGR reli ya zamani ktk usafirishaji wa mizigo katika kipindi cha sasa wakati ujenzi wa SGR Reli mpya ukiwa unaendelea.

Pia waziri Atupele Mwakibete atoa ufafanuzi juu ya majaribio ya kichwa cha treni maalum cha uhandisi ktk reli mpya ya SGR kipande cha DSM na Morogoro.

Source : TRC RELI TV
 
Changamoto za nchi zisizo na bahari, Nchi zenye bandari kama Tanzania zinaweza kufadika kwa pamoja na nchi zisizo kuwa na bahati hiyo .

CHALLENGES OF LAND LOCKED COUNTRIES


To achieve further economic boost, Africa needs to develop economic infrastructure not only at the national level but also at the regional level. This video introduces our cross border infrastructure projects in line with African continental infrastructure development strategies, PIDA
Source: JICAChannel02
 
28 August 2022
Pwani, Tanzania

Prof. John Kondoro - Mambo yanaendelea vizuri mradi wa SGR Reli Mpya



Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi shirika la reli Tanzania TRC, Profesa John Kandoro amebainisha hayo katika bandari kavu ya Kwala iliyopo mkoani Pwani nchini Tanzania wakati ameongozana na wadau.

Naye Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama cha siasa CCM ambaye ni mkurugenzi kutoka benki ya biashara Tanzania TCB Dr. Edmund Mndolwa ameridhika kuwa mradi huu wa SGR Reli Mpya ni endelevu huku nchi jirani zikiwa na mayadi (yards) katika bandari kavu ya Kwala mkoani Pwani hivyo benki ya TCB itaharakisha eneo hili likipata huduma za kibenki kwa wadau mbalimbali hapo Kwala.
Source : TRC RELI TV
 
4 October 2022
Luanda Angola

Serikali ya Angola Wapokea vichwa vya treni toka China




Three Chinese-made locomotives were delivered to Angola last Monday. They constitute the last wave of deliveries of an order book of 10 units, addressed to the China Railway Rolling Stock Corporation (CRRC) group. These railway units acquired for the benefit of Caminho de ferro de Luanda EP (CFL), the operator of the railway line from Luanda to Malanje, are each composed of 4 cars with a capacity of 696 passengers.

According to Alberto Quengue, Operations Administrator of the National Road Transport Agency (ANTT), these new trains will complete a fleet of 4 deployed in Luanda. 3 others are already in use in Benguela, located 430 km south of the capital.

The new locomotives will increase CFL's operational capacities, and contribute to improving urban mobility in Luanda. They will also connect the city center to the new António Agostinho Neto international airport under construction, whose work should be completed in the first quarter of 2023 according to the authorities
Source : Angola : les services ferroviaires dans Luanda renforcés par l’acquisition de 4 locomotives
 
27 September 2022
SIKU YA KIPEKEE KWA MRADI WA SGR RELI MPYA TANZANIA ULIOASISIWA APRIL 12, 2017 NA MH. RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI



MASANJA KADOGOSA - "SGR KUUNGANISHA DAR NA DODOMA TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA, TUTAFIKA MAKUTUPORA HIVI KARIBUNI" . Mkurugenzi mkuu wa TRC anaendelea kuwa kwa kweli mradi huu una gharama kubwa na bila serikali kumwaga pesa nyingi ungekwama. Ni fahari kubwa kuona vipande viwili vya setika DSM - MORO na MORO-DODOMA zimefikia pazuri. Mradi huu wa SGR RELI Mpya una jumla ya vipande 5 ili kazi nzima ikamilike.
Source : TRC RELI TV
 
17 October 2022
Kidete, Kilosa
Morogoro

MWENYEKITI WA KIJIJI CHA KIDETE AKIRI TRC KUHARIBU MASHAMBA YA UMWAGILIAJI MAJI, MRADI WA SGR RELI BADO KUTOA FIDIA BAADA YA TATHMINI

Pamoja ya kutembelewa mara kadhaa na maafisa wa TRC wa Mradi wa SGR Reli Mpya lakini bado hawajalipwa, hivyo wanapeleka ujumbe kukumbushia malipo yao ya fidia.
 
UJENZI SGR RELI MPYA BANDARINI, STESHENI KUU DSM HADI MOROGORO KAZI INAENDELEA.

SGR RAIL WORK IN PROGRESS DSM - MOROGORO UPDATES FOR THE MONTH OF SEPTEMBER 2022

Source : Yapi Merkezi Tanzania
 
SEPTEMBER 2022

KIPANDE CHA MOROGORO - MAKUTUPORA RELI MPYA SGR

MDM September 2022 Progress Video Standard Gauge Railway Line From Morogoro to Makutupora


Kazi ya kufunga mfumo na miundombinu ya umeme mkubwa, mfumo wa signal , ujenzi wa uzio pembezoni mwa reli, kuimarisha tuta, kuimarisha miteremko, kuimarisha vilima vilivyochongwa n .k
Source : Yapi Merkezi Tanzania
 
26 October 2022

Mikataba mpya bilioni 379.3 Kukarabati reli ya kati ya mkoloni CCECC ya China


  • Mchepuko reli ya kati Godegode Dodoma 6 kilometa
  • Mchepuko reli Kaliua hadi Mpanda kilometa 210
  • Madaraja likiwemo la mto Ugalla ktk kipande cha Mpanda -Kaliua
Mkurugenzi mkuu TRC Masanja Kungu Kadogoda aelezea umuhimu wa reli hiyo ya kati ya mkoloni kwa siku za mbele ikiwemo ujenzi wa bandari ziwa Tanganyika, michepuko ya SGR kwenda bandari ya Kalema ziwa Tanganyika n.k

Naye mkurugenzi mtendaji wa CCECC Bw. Zhang Junle amesema wanafuraha kuendelea kuaminiwa na TRC kwa zaidi ya miaka 20 kutekeleza kandarasi za ujenzi. CHINA CIVIL ENGINEERING CONSTRUCTION CORPORATION.
Source : TRC RELI TV

Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya kati(TIRP)​



Mradi wa ukarabati wa njia ya reli ya kati ambao unafadhiliwa na Benki ya Dunia unajulikana kama ‘Tanzania Intermodal and Rail Development Project’ (TIRP). Mradi huu unagharimu pesa za Kimarekani Dola Milioni 300.

Madhumuni ya Mradi​

Kuwa na usafiri wa Treni unaoaminika kutoka Dar es salaam hadi Isaka.

Taarifa za Mradi​

Mradi umelenga kufanya ukarabati wa Reli iliyopo kwa kipande cha Dar es salaam-Isaka (km 970) ili kuongeza uwezo wa kubeba mzigo toka chini ya Tani 13.5 za uzito wa ekseli hadi tani 18.5 kwa kufanya yafuatayo;

  • Kutandika upya njia za Reli zenye uzani wa paundi 80 kwa umbali wa Kilometa 312.
  • Kufanya ukarabati wa njia ya Reli kwa urefu wa Kilometa 658.
  • Kufanyia ukarabati wa makaravati na madaraja 442.
  • Kuboresha mfumo wa mawasiliano.
  • Ukarabati wa vituo vya kupakia na kupakua mizigo vya bandari ya Dar es salaam, Ilala na Bandari kavu ya Isaka.
  • Zaidi ya ukarabati wa njia, kupitia mradi huu tutaweza kununua mitambo ya ukarabati wa njia, vichwa vitatu vya treni(vipya) na mabehewa mapya 44 ya mizigo, na kukarabati vichwa viwili vya treni.

Faida za Mradi​

Faida za Mradi wakati wa Ujenzi​

  • Kuwepo kwa fursa za ajira.
  • Kukua kwa kipato cha wananchi maeneo ya mradi.
  • Kujengewa ujuzi kwa wote watakaoshiriki kwenye shughuli za ujenzi.

Faida za mradi baada ya kukamilika​

  • Kuboresha na kuongeza kiwango cha ubebaji mizigo kwa miundombinu ya reli na madaraja.
  • Kuongezeka kwa mwendokasi wa treni toka Kilometa 30 kwa Saa hadi kufika Kilometa 70 kwa Saa na hivyo kupunguza gharama za usafirishaji.
  • Kupunguza muda wa kupakia na kupakua mizigo kutoka Bandari ya Dar es salaam hadi bandari kavu ya Isaka kufikia Saa 24.
  • Kutengenezwa kwa mpango endelevu wa matengenezo ya miundombinu ili kufanya usafiri huu kuwa wa uhakika na kuaminika.
  • Kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Reli na hivyo kuongeza ufanisi katika kutoa huduma.
  • Kupunguza gharama za matengezo ya barabara na hivyo serikali kuelekeza bajeti iliyookolewa kwenda huduma nyingine ya kijamii.

Maendeleo ya Mradi​

  • Mradi huu ni ukarabati wa reli iliyopo ya kiwango cha kawaida (Meter Gauge Railways).
  • Mradi huu umegawanyika katika vipande viwili, kipande cha kwanza kitaanzia Dar es salaam hadi Kilosa (Kilometa 283) na Kipande cha pili ni Kilosa hadi Isaka (kilometa 687).
  • Vipande hivi vimeshapata wakandarasi na ujenzi unatarajiwa kuanza mapema Juni 2018.
  • Kwa sasa hatua mbalimbali za matayarisho ya ujenzi zinaendelea.

Mambo ya Kuzingatia wakati wa Mradi​

  • Hairuhusiwi kufanya biashara yoyote katika maeneo ya stesheni bila kibali maalumu.
  • Vibali vya biashara vinapatikana katika kila stesheni bure, hivyo mfanyabiashara unapaswa kujiandikisha kupata kibali chako.
  • Wafugaji wote hawaruhusiwi kabisa kufanya shughuli za ufugaji katika maeneo ya mradi hivyo watapaswa kuendesha shughuli hizo mbali na eneo la ujenzi.
  • Wakulima wote wanaofanya shughuli za kilimo katika eneo la mradi watapaswa kusitisha kabisa shughuli za kilimo katika maendeleo ya reli ifikapo mwisho wa mwezi Mei 2018.
  • Tahadhari za kiafya ni muhimu kuzingatiwa kwa wananchi wote kwa kuepuka ngono zembe kwani kutapelekea ongezeko la maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi, kaswende pamoja na mimba zisizotarajiwa.
  • Vitendo vyovyote vya kikatili vinapaswa kutolewa taarifa mara moja katika ofisi husika za serikali na pia kupitia anuani na namba zetu za simu.
  • Epuka kukaa, kuvuka na kuzurura katika maeneo ya reli kwani kunaweza kupelekea kujeruhiwa au kifo.
  • Wananchi wote mnashauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali za ajira na biashara zinazotokana na mradi huu
Source : Mwanzo | TRC
 
07 November 2022
Dar es Salaam, Tanzania

Mkataba wa jumla ya Dola za Marekani Millioni 51 kununua mashine na mitambo tofauti ishirini na nne (24)

Source: Source : TRC RELI TV

Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock ya Korea ya Kusini na Shirika la Reli Tanzania TRC zimeingia mkataba.

news title here

08 NOVEMBER 2022
Dar es Salaam, Tanzania

Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR, hafla hiyo imefanyika makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Novemba 07, 2022.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mhe. Kim Sun Pyo, Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania ambaye ameshuhudia zoezi hilo ameeleza namna nchi ya Korea Kusini ilivyo wekeza kwa muda wa miaka mingi katika uendeshaji wa reli na zaidi ya miaka 30 katika uendeshaji wa reli ya kisasa.

Balozi alibainisha ubora wa Shirika la Reli Korea Kusini pamoja na umahili wa kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) katika miundombinu ya reli “Shirika la letu la reli likiwa ni namba moja sasa duniani na kampuni hii mnayoingia mkataba ni namba moja kwa utengenezaji wa vifaa na mitambo ya ukarabati wa njia ya reli duniani”

Balozi aliongeza kuwa usafirishaji wa njia ya reli umekuwa ni uti wa mgongo wa uchumi wa Korea ya Kusini kwa zaidi ya karne, na Tanzania ikikamilisha ujenzi wa SGR itaongoza uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki na uchumi utakuwa maradufu.

Mara baada ya kusaini mkataba huu kazi ya utekelezaji itaanza na jambo la muhimu ni ushirikiano na kumaliza kazi kwa wakati.

Naye, Prof. John Kondoro, Mwenyekiti, Bodi ya Wakurugenzi Shirika la Reli Tanzania alitoa shukrani kwa Selikali ya Jamhuri ya Muungangano wa Tanzania kwa kuendelea kuleta mabadiliko katika Shirika la Reli nchini, kwani reli inayofanya kazi kwa sasa niya muda mrefu hivyo Serikali iliamua kwenda na teknologia ya kisasa kwa kujenga reli ya SGR ambayo itakuwa na kiwango cha kimataifa.

Profesa Kondoro aliongeza kuwa Shirika limekuwa likitumia vibendera na watu kwa ajili ya kuangalia na kukagua usalama wa njia ya reli na sasa kupitia mkataba huu katika reli ya SGR inaenda kutumia teknologia ya kisasa katika mashine ya ukaguzi wa njia, mtambo wa kukagua mipasuko ya ndani ya reli pamoja na mashine ya kupigilia.

Hata hivyo, Mkurugenzi Mkuu TRC Masanja kadogosa alisema kuwa lengo la ununuzi wa mashine na mitambo hii, ni kuongeza ufanisi wa matengenezo ya njia na kupunguza kufanya matengenezo ya njia kwa kutumia watu. Ambapo mitambo hiyo itaipa uwezo TRC katika kutunza njia ya SGR muda wote wa uendeshaji.

Mkataba huu utahususha ununuzi wa mashine na mitambo ambayo ni mtambo wa kuunganisha Reli, mashine ya ukaguzi wa njia, mtambo wa kukagua mipasuko ya ndani ya reli, mashine ya kupigilia mashine za kupigilia, viberenge vya uwezo mkubwa vya kubeba mizigo wakati wa matengenezo, gari linalotumika wakati wa ukaguzi wa njia, gari la ukaguzi wa madaraja, mtambo wa kuua majani yanayoota pembeni ya Reli, mtambo wa kuzima moto sehemu mbalimbali za Reli ikiwemo mahandaki, gari la kukagua miundombinu ya umeme, gari la matengenezo ya miundombinu ya umeme, na mashine ya kukaza vifungio.

Mkurugenzi Mkuu TRC amesema kununua mashine na mitambo tofauti ishirini na nne (24), itagharimu jumla ya Dola za Marekani Millioni 51, utekelezaji wa mkataba utahusisha utengenezaji, mafunzo, na makabidhiano unatarajiwa kufanyika kwa miezi kumi na mbili (12).

Sambamba na ununuzi huo, tayari Shirika limeandaa wafanyakazi watakaofundishwa namna bora ya kutumia mashine.
1667930948851.png

Source : Mwanzo | TRC
 
27 November 2022

news title here

25 NOVEMBER 2022

Shirika la Reli Tanzania – TRC limepokea behewa 14 mpya za reli ya kisasa - SGR zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwaajili ya uendeshaji wa reli ya kisasa nchini, hafla ya upokeaji wa behewa hizo imefayika katika bandari ya Dar es Salaam Novemba 25, 2022.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa reli ya kisasa - SGR unakwenda sambamba na ununuzi wa Behewa na vichwa vya treni kwaajili ya uendeshaji wa huduma katika reli ya kisasa.

Ambapo leo Serikali ya Tanzania imepokea behewa za abiria 14 kati ya 59 zilizotengenezwa na kampuni ya Sun Shin Rolling Stock Technology Limited (SSRST) iliyopo nchini Korea ya Kusini.

Prof. Mbarawa ameongeza kuwa Serikali imetoa Dola za Marekani million 295.74 kwa kampuni ya Hyundai Rotem ya Korea Kusini kwaajili ya ununuzi wa vichwa vya treni vya umeme 17 na seti za treni za kisasa (Electric Multiple Unit - EMU) 10 na ‘locomotive simulator’ 1 ya umeme, pia kuna behewa 1,430 za mizigo ambazo ziko katika matengenezo.

Aidha, Prof. Mbarawa ametoa ufafanuzi kuhus aina ya treni zinazokuja nchini Tanzania, “Serikali imeagiza vichwa vya treni ya umeme kwaajili ya kuvuta behewa hizi, katika treni za umeme kuna vichwa vya treni aina 3 ambavyo ni ‘Electric Locomotive’ kazi yake ni kuvuta behewa kama hizi 14 zilizokuja, ‘Electric Multiple Unit’ (EMU kichwa cha treni ya aina hii kimeungwa na behewa pamoja, na aina ya tatu kichwa cha treni ni kile ambacho kinatumika mahususi kwa ajili ya mwendo kasi wa hali ya juu”.

Prof. Mbarawa ameweka wazi kuwa “kwenye utaratibu wa treni za umeme, treni inayokwenda mwendokasi zaidi ya Kilomita 200 kwa saa treni hiyo inaitwa ni ya mwendokasi, na zile treni ambazo mwendo wake ni chini ya Kilomita 200 kwa saa zinaitwa treni za kawaida.

Hivyo treni yetu ya Tanzania ni treni ya umeme ya kawaida inayokwenda Kilomita 160 kwa saa”.

Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania Mhe. Kim Sun Pyo amesema leo ni siku ya historia kubwa kati ya Tanzania na Nchi yaKorea Kusini kwa kuleta behewa za SGR nchini Tanzania, Mhe. Kim amesisitiza kuwa Korea Kusini itaendelea kutoa ushirikianokatika kusaidia mradi wa SGR. Hata hivyo ametoa pongezi kwa Serikali na TRC kwa ujenzi wa SGR ambao utarahisisha usafirishaji na kuinua uchumi Tanzania.

Naye Mkurugenzi Mkuu TRC Masanja Kadogosa ameeleza gharama zilizotumika katika utengenezaji wa behewa hizo, “mkataba wa utengezaji wa Behewa hizi 59 ambazo behewa 14 tumezipokea leo umegharimu Dola za Kimarekani 55.6, muda wa mkataba ulikuwa miaka miwili ambao unahusisha utengenezaji wa behewa za daraja la juu (Business class) na daraja la chini (Economy class), kusafirisha, kufanya majaribio na mafunzo kwaajili ya wasimamizi wetu kupitia TRC.

Kwa taarifa tulizonazo mpaka sasa utengenezaji wa behewa zilizobaki umefikia asilimia 86 na mwezi Mei 2023 tutakuwa tumepokea behewa zote 59”.

Sambamba na hivyo Kadogosa ameeleza mipango ya uboreshaji huduma za usafiri wa treni za bara katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka.

Kadogosa amesema TRC kupitia Serikali imeongeza behewa 22 mpya za reli ya kati (MGR) ambazo zitasaidia kuongeza safari kwa za abiria wa kwa mikoa ya Kigoma , Kilimanjaro na Arusha .
Source : Mwanzo | TRC
 
Mbwembwe nyingi zilizotumika kuuelezea mradi wa reli ya SGR Mpya yaipa TRC na serikali wakati mgumu kwani ukweli na ugumu kuanzia mabehewa hadi muda wa kumaliza ujenzi wa mtandao mzima wa reli ya SGR Mpya unaanza kujidhihirisha



Source: SK Media online TV
 
11 December 2022

MABEHEWA MAPYA KWA AJILI YA RELI YA ZAMANI (MKOLONI) MGR YAWASILI KUONGEZA TIJA

Mkurugenzi mkuu wa TRC Bw. Masanja Kungu Kadogosa : Bado tunayo reli ya MGR ya Kigoma Mwanza mpaka hapo SGR Reli mpya itapokamilika

Hivyo mabehewa 22 mapya ya reli ya zamani MGR mkoloni kuongeza tija uasafiri wa reli ya MGR Dar, Moro, Tabora, Kigoma, Mpanda, Katavi, Mwanza, Moshi na Arusha

Mkurugenzi mkuu wa TRC amebainisha yote hayo kuhusu mustakabali wa yanayoendelea katika miradi ya shirika la reli ya TRC wakati wa kupokea mabehewa hayo mapya kwa ajili ya njia ya zamani ya reli ya MGR akipokea mabehewa mapya katika bandari Dar es Salaam, Tanzania.

Source: TRC RELI TV
 
Desemba 20, 2022
Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma)

Hii SGR lot 6 pia inategemewa kuwepo na tawi la reli ya SGR linoanzia Uvinza, Kigoma Tanzania hadi Gitega Burundi.


More info:
The planned railway line will depart from Uvinza district to Kigoma in Tanzania, via Musongati, Gitega and extends to the east of the Democratic Republic of Congo.

Its execution budget is estimated at $6400 million for both lines Uvinza-Musongati ($1,200 million) and Dar-Es-Salaam-Gitega ($5,200 million).

The committee will, according to the decree signed by the president of the republic of Burundi review and approve the financing plans proposed by the Technical Monitoring Committee. Also it will approve the operating budget of the technical committee for monitoring railway projects in Burundi and mobilize the necessary financing for railway projects.

Source : #Burundi to Connect with #Tanzania's Central Railway Corridor - Railway Business Magazine
 
Back
Top Bottom