Mhadhiri wa sheria: TCRA ndicho chombo chenye mamlaka kamili kukifungia kituo cha redio

Kwa wale walioangalia taarifa ya habari ya Azam TV leo saa 2, wameona jinsi mhadhiri wa sheria alivyoelezea kwamba TCRA ndiyo yenye mamlaka kamili. Je, waziri wetu Mh. Nape Mosses Nauye kakosea kwenye hili??

Kwa awamu hii alilofanya Nape linawezekana!
 
Bora hata Redio za UGANDA zianze kushika huku CHATO niwe nasakata Rumba tu!!

Make Bunge giza, mikutano giza na Habari giza duuh!! Waziri ndie kichwa tu bongo.
 
Back
Top Bottom