Mhadhiri wa sheria: TCRA ndicho chombo chenye mamlaka kamili kukifungia kituo cha redio

TCRA iko chini ya wizara ya habari hivyo waziri Nape anamamlaka zaidi

Yuko sahihi
TCRA iko chini ya wizara ya habari? ndio madhara ya kukurupuka haya...google ni rafiki yako mkuu...mtumie vizuri. Kwa habari yako TCRA iko chini ya wizara ya mawasiliano, uchukuzi na ujenzi...waziri ni Makame Mbarawa. Nape hahusiki TCRA
 
Hapa swala sio Magazeti ni Radio..
Mkuu nimeanza kuhisi kwamba hili jamvi siyo home of the great thinkers tena. Hebu fikiri kuna watu wawili kwenye hii thread wanadai TCRA iko chini ya wizara ya habari! Mpaka nimeishiwa nguvu. Hivi tutafika kweli?
 
Hili ni janga.... Watanzania tumekuwa tunaongozwa na mahaba.... Mambo ya Msingi tunayapeleka Kishabiki...

Sijui hawa vijana huko shule wameenda kusomea Ujinga gani.... Kama hajui kuwa TCRA ipo ktk Wizara gani

TCRA iko chini ya wizara ya habari? ndio madhara ya kukurupuka haya...google ni rafiki yako mkuu...mtumie vizuri. Kwa habari yako TCRA iko chini ya wizara ya mawasiliano, uchukuzi na ujenzi...waziri ni Makame Mbarawa. Nape hahusiki TCRA
uko sawa mkuu,
basi niambie radio zinasimamiwa na wizara gani
 
Tatizo lenu in moja tu....mlikuwa mnawachukulia poa poa sana kina Mwigulu,Nape,January Leo hii wamekuwa viongoz kwenye serikali NA wanawaamulia mambo yenu mengi tu...inabidi muwaheshimu tu hakuna namna ndio viongoz wenu kwasasa .
Huwezi kutulazimisha kuwapenda tusiowapenda.
 
Issue ni moja tu je kosa limetendeka au la?
Kusema ukweli? Tanzania imejaa wajinga hii! Wale Magic FM walisema kama Rais anavunja katiba ni kosa kisheria asitegemee watu anao waongoza kufuata sheria.Kama baba ni mwizi kuna uwezekano Mkubwa watoto wakawa wezi pia.
 
Ninavyoona mimi, TCRA ndiye regulator wa TV na Radio stations zote nchini...na kwakua tumekubaliana kwamba TCRA wako chini ya wizara ya mawasiliano...basi it goes to reason kwamba radio ziko chini ya wizara ya mawasiliano.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Your conclusion is not only naive but also childish.Ni sawa na kusema kwakuwa polisi iko chini ya Wizara ya mambo ya ndani, basi waziri Wa mambo ya ndani ana mamlaka ya kukamata wahalifu na kuwaweka jela! Tuna wajibika kufuata Katiba.
 
Kwa wale walioangalia taarifa ya habari ya Azam TV leo saa 2, wameona jinsi mhadhiri wa sheria alivyoelezea kwamba TCRA ndiyo yenye mamlaka kamili. Je, waziri wetu Mh. Nape Mosses Nauye kakosea kwenye hili??
Duuuh kila mmoja anazungumza lake.

Ngoja tuangalie hii movie itakapoishia.
[HASHTAG]#uchochez[/HASHTAG]
 
Kwa wale walioangalia taarifa ya habari ya Azam TV leo saa 2, wameona jinsi mhadhiri wa sheria alivyoelezea kwamba TCRA ndiyo yenye mamlaka kamili. Je, waziri wetu Mh. Nape Mosses Nauye kakosea kwenye hili??
CHAMA CHA KUTAPATAPA KINAJIKONGOJA.
 
Back
Top Bottom