Taarifa zilizopo ni kwamba Fiesta itafanyika Mbeya kesho(kwa mujibu wa Clouds fm) Sugu ameshikilia msimamo wake wa kuizuia isifanyike Mbeya na kesho utafanyika mpambano wa mpira wa miguu uwanja wa Sokoine ukimuhusisha Sugu na wasanii wengine kama Mgosi Mkoloni,Afande Sele,Ferooz n.k uwanja ambao utatumika kwa ajili ya fiesta hiyo hiyo kesho.WANAMBEYA NA WANA JF MNALIONAJE HILI? Damu haitamwagika hiyo kesho?