Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Rejao, Jul 5, 2011.

 1. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta.
  Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia kusema kuwa hatakubali Fiesta ifanyike Jimboni mwake.
  Sasa mimi nashindwa kuwaelewa hawa vijana wa Upinzani; Ni kwamba wanatunishiana misuli au ni Maamuzi ya CHADEMA kuwa kila mtu ana fursa ya kuongea chochote awezacho na kufanya maamuzi yoyote?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Certificate in Terrorism Studies
  [​IMG]
   
 3. C

  Chintu JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 2,411
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umbea mwingine bana,hata wanawake hawako hivyo,hebu futa hii thread bana maana tunakuheshimi ati.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Waheshimiwa wa Chadema ndio wanasababisha yote haya
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hebu labda tumuulize Zitto Kabwe
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG][/
   
 8. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,074
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  chadema inahusika vipi kwenye fiest? Kama huna cha kuandika ni bora hata uwe una post makala ya afya humu janvini kuliko kuweka pumba .
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Mh. Mbilinyi a.k.a Mr Proud a.k.a Sugu(Chadema), Mh. Zitto Zuberi Kabwe(Chadema) wote wameizingumzia Fiesta.
   
 10. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 5,827
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  wewe hizo akili zako au za kuazima? Fiesta ni biashara na si siasa
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hiki ndicho Mh. Zitto Mbunge wa Chadema anachowahasisha wananchi wakakishudie!
  Viva Chadema... Zidumu fikra za Mwenyekiti
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,694
  Likes Received: 4,534
  Trophy Points: 280
  Tafadhari Moderators, huu ujinga pelekeni kwenye jukwaa la Celebrety, naomba msilishushie hadhi jukwaa letu pendwa la siasa. mnajaza mathread ya kipuuzi kama haya matokeo yake mtu anashindwa kuona thread za maana.
   
 13. T

  Tata JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,235
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Walizungumzia Fiesta kama wasemaji wa chama au walikuwa wakiwakilisha mawazo yao binafsi?
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,694
  Likes Received: 4,534
  Trophy Points: 280
  Hizo kauli za zidumu fikra za mwenyekiti ni kauli mbiu za misukule wenzako wa magamba,.......
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,404
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Fiesta inatusaidia nini watanzania?
   
 16. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,404
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,694
  Likes Received: 4,534
  Trophy Points: 280
  Boko haram member, wewe ni gaidi tu not otherwise.
   
 18. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 3,582
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  Peleka kwenye udakuu hii kitu, it is not siasa
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 30,694
  Likes Received: 4,534
  Trophy Points: 280
  Al madrasat alsul, ubwabwa wapi leo? na ile siku ya waislamu kupitakuombaomba madukani ni lini vile?
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Great thinkers........
   
Loading...