Mh Zitto akiunguruma Bungeni leo!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
441
118
Wakati akichangia bajeti ya wizara ya ulinzi Mh Zitto ameweka nia ya kuwasilisha hoja binafsi kutaka iundwe tume kuchunguzwa kwa deni la m
 
Wakati akichangia bajeti ya wizara ya ulinzi Mh Zitto ameweka nia ya kuwasilisha hoja binafsi kutaka iundwe tume kuchunguzwa kwa deni la m
Join Date : 5th July 2011

Posts : 1

Rep Power : 0
Mkuu mkono mtupu karibu sana JF, kumbuka hapa siyo FB, acha kukurupuka kuleta habari hazijakamilika...
 
Weka mambo sawa ili tudadavue, leta khabari iliyokamilika jamvini.
 
Kapotea wapi tena? Jamaa wengine sijui anamwachia nani amalizie hii habari! Mkuu rudi umalizie habari yako.
 
Zitto ametaka iundwe kamati ya Bunge kuchunguza malipo ya zaidi ya USD 134milion kutoka serikalini kwenda Nedbank kwa mkopo wa USD 10milion ambayo iliyokopeshwa Meremeta na Nedbank ya South Africa. Ali-refer kamati ya Bomani ilipendekeza the same mwaka 2007 lakini mpaka leo CAG amekuwa analizunguka faili hilo kama CCM inavyozizunguka barua za kuwavua magamba akina Rostam.

Ni wizi wa Wazi .
 
Meremeta,Tangold,Deep green,Kagoda etc ni magamba ya kiuchumi ambayo ili kuyavua ni lazima yatoke na nyama na damu na kiumbe kinachomiliki kitakufa mara!
 
Jina lako linaendanana na thread uliyoanzisha.Ningejua kufonza/kusonya kwa maneno ningeandika hapa.
 
Namuunga mkono Zito deni la $10million, bank kuu ya Tanzania inalilipa kwa $132million. This is shame!!!! Halafu eti bado tunaendelea kukopa hela kwa wafadhili.
 
Namuunga mkono Zito deni la $10million, bank kuu ya Tanzania inalilipa kwa $132million. This is shame!!!! Halafu eti bado tunaendelea kukopa hela kwa wafadhili.
atakama akipeleka hoja watapiga vijembe kwa uwingi wao magamba
 
Namuunga mkono Zito deni la $10million, bank kuu ya Tanzania inalilipa kwa $132million. This is shame!!!! Halafu eti bado tunaendelea kukopa hela kwa wafadhili.

Kwani kuna viongozi hapa TZ? tungekuwa na serikali yetu mambo yasingekuwa vile. Make kuna serikali ya zenji na ya muungano. Serikali yetu ingekuwepo haya yote ya wizi wa fedha zetu yasingetokea.
 
Zitto Kabwe: nimelitaka Bunge kuunda kamati teule kuchunguza malipo ya tshs 216bn ambazo Benki Kuu ililipa kwa NedBank ya Afrika Kusini.
Zitto kabwe via FB
Jamani naomba hata kama mtu amekosea kuandika habari flani tusimkatishe tamaa na kama mtu anafahamu hiyo habari kwa uzuri basi asahihishe sio kulaumu mtoa maada
 
Back
Top Bottom