Mh Zitto akiunguruma Bungeni leo!

Tunapaswa kusahihishana pale m2 anapokosea na co kuzodoana hapa sio bungeni, cc nia yetu moja kuijenga Tanzania iliyojaa nyufa tena ziczozibika 2cpoangalia itatubomoke. Ila nawe mtoa habari unatakiwa kutoa habari makini na sahihi ili nac 2pate kuchangia vzr.
 
Mbona hujaeleweka au umesimuliwa na mtu nin?
Hii sio sehemu ya kutuletea story zisizo na kichwa wala miguuuuuuuuuuuu
tena ujiheshimu sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom