Mh Wenje ndani ya Dakika 45 ITV

Aisee, KAKA naweza kuamini kabisa, huyu jamaa anaongea tena bila aibu kuwa viongozi wa Tanzania ndiyo wana makosa anashindwa hata kuelewa tatizo limeanzia wapi mpaka kufikia viongozi kuona haja ya kutoendelea kuwang'ang'ania watu wasiyo na mwelekeo. kumbe ndiyo maana hata wananchi wa NYAMAGANA hawana hamu tena na WENJE, jamaa ni mweupe kweli kweli.
Mkuu.

Unadhani nakudanganya hata mikutano yake pale Mwanza Bugarika alikuwa anafadhiliwa na kina Odinga ushahidi upo tena wa picha.
 
Nimemsikiliza na nimesikitika mno. Hana uelewa wa 'regional integration' kabisa. Kitu kimoja nimejifunza: kuna wabunge wako bungeni kwa sababu tu wenye weledi wa mambo wamegoma/hawataki/hawawezi kwenda kugombea. Acha tuwapate akina Lusinde 'kibajaji', Kapteni Komba, Sugu, Wenje...!
 
Mkuu.

Unadhani nakudanganya hata mikutano yake pale Mwanza Bugarika alikuwa anafadhiliwa na kina Odinga ushahidi upo tena wa picha.
Magufuli nani alimfadhili kupiga Kampeni Kenya kipindiki kile cha uchaguzi..
 
namskiliza hapa anaongea vzr unafaa kua waziri kivuri wa mambo ya nje.

Watanzania viumbe wa ajabu,na siku tukijitambua na kuwa wakweli pale tunapokosa tukubariane kimsingi tumekosa hapo ndipo tutasonga mbele ila kwa ujinga huu wa kuficha ukweli hata kwa mambo yasyohitaji usiri tunafanya usiri daima tutakuwa wafu tunaotembea.
 
Nimemsikiliza na nimesikitika mno. Hana uelewa wa 'regional integration' kabisa. Kitu kimoja nimejifunza: kuna wabunge wako bungeni kwa sababu tu wenye weledi wa mambo wamegoma/hawataki/hawawezi kwenda kugombea. Acha tuwapate akina Lusinde 'kibajaji', Kapteni Komba, Sugu, Wenje...!
mbona hata wewe katika huu mchango wako hapa hujaonyesha weledi? ungetuambia ulichotegemea aseme au ungekosoa hoja ambayo wewe unadhani ameikoroga kisha utuambie wewe unadhani ilipaswa iweje lakini ulichokifanya hapa ni kama mwimba pambio asiye jua key anayoimbia
 
Nilisubiria kwa hamu sana kipindi hiki nmekuwa nikifuatilia mjadala huu wa Tanzania. Kutengwa na wanajumuiya. ya. EAC wenje amenipatia mwanga nimeipenda sana speech yake amesema ili tusonge mbele wao wanatuhitaji sisi na sisi tunawahitaji wao ila nashangaa wana jamvi humu wengine wanaiponda wanaoiponda huwa naangalia post zao nyingi ni watu ambao wanapenda pia muungano wetu na zanzibar ki ukweli wenje ameongea vizuri sana nimeipenda sana uwezo wa kuelewa mambo na kuyaelezea safi sana
 
usisingizie mwanza, au ngw'anza. tunahitaji kiongozi mtanzania nawenje ni mtanzania. kwasababu watanzania hatujui kufikili nadhani wengi wetu ni mental retarded ndo maana badala ya kuja na hoja tunakuja n a unafiki hoo mkenya, watu wa mza wamemchoka if ur mental retarded doctors can not revive your brain acha watu wengine wafikirie kwa ajiri yako.
 
Kama watu kama kina WENJE ndo wanategemewa CHADEMA, basi chama hakina watu, hivi anachokisema anaikiri anawafurahishwa Wakenya au Watanzania?

Tusiwe na fikra nyepesi kwa kumtazama Wenje tu, hii ni ajenda ya Reginald Mengi kuvuruga Serikali ili angalau Rais amsikilize au ajibu sms zake kama zamani maana ametelekezwa kipindi kirefu sasa kwa vigezo muhimu vinavyolinda maslahi ya nchi na si Mengi na wapambe wake, makuwadi wa soko huria.
 
Back
Top Bottom