Mh. SUGU, nisikilize Clouds FM..?

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,590
2,141
Mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliokubali ushawishi mkubwa wa Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu juu ya unyonyaji na negatives nyingine nyingi zinazofanywa na Redio hii dhidi ya wasanii.

Tangu kipindi hicho nilimkubali Sugu na kuachana nayo.

Hapa katikati nilisikia taarifa za suluhu kati ya Sugu na mmiliki wa taasisi na kituo hiki.

Namuomba kama akiweza atushawishi upya mimi na wenzangu kuiamini Redio hii na kuanza kuisikiliza upya.
 
unalotakiwa ujue ni kuwa na msimamo !
Je ulimuunga mkono sugu kwa sababu zipi.
Sio kila time akwambie cha kufanya !
Anyway atapita we subili.
 
Wakati mwingine acha ujinga, Sugu ni baba yako? pumbafu sana wewe huna lolote, iko siku akisema usimwingilie mke wako mpaka aseme tena endelea! we acha kusikiliza maisha yako yote kwani Clouds unafikiri utakuwa umewakomesha! acha ulimbukeni, wewe unaonekana huna uelewa kabisa natamani ungekuwa karibu ningekuzaba kibao ulie, hivi mkeo ikitokea akasoma huo ujinga wako atakuonaje?!!!!!!!!!1
 
Wakati mwingine 1. acha ujinga, 2. Sugu ni baba yako? pumbafu sana wewe huna lolote, iko siku 3. akisema usimwingilie mke wako mpaka aseme tena endelea! we acha kusikiliza maisha yako yote kwani Clouds unafikiri 4. utakuwa umewakomesha! acha ulimbukeni, wewe unaonekana 5. huna uelewa kabisa natamani ungekuwa karibu 5. ningekuzaba kibao ulie, hivi mkeo ikitokea akasoma huo ujinga wako 6. atakuonaje?!!!!!!!!!1

1. Ujinga nimeuanzisha mimi au Sugu na VINEGA..?
2. Nilisikiliza maneno yake yakanivutia hata kama si baba yangu.
3. Hawezi kusema kitu kama hicho kwangu, labda kwako.
4. Ina maana Sugu na vinega walijua hawatawakomesha?
5. Thubutu, tena nahisi wewe mkeo huwa ana kuzaba vibao.


Bila Mjinga Werevu wangejulikanaje?
 
sugu keshakatiwa pesa ndefu! maskini vinega walikuwa washika pembe tu! sasa hivi wamepotezewa....
 
Ina maana Sugu na Wenzie ilikuwa nguvu ya Soda..?

wale wenzie walikuwa wanatumika... sugu alikuwa na ugomvi wa kibinafsi na ruge !! vinega shilingi elfu tano tano za sugu na bia mojamoja zikawatoa fahamu.. wametumika sugu kawachoka kawaacha njia panda ..
 


wale wenzie walikuwa wanatumika... sugu alikuwa na ugomvi wa kibinafsi na ruge !! vinega shilingi elfu tano tano za sugu na bia mojamoja zikawatoa fahamu.. wametumika sugu kawachoka kawaacha njia panda ..

Kazi ipo, Tanzania long way to go..! Sikulijua hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom