Mh Rais unachoniboa ni kujilimbikizia madaraka tuu

Propaganda ya tetemeko mliitumia mkaangukia pua. Mbunge wetu mwenyewe ambaye ni chadema alijitenga na ujinga huo na kushirikiana na viongozi kumaliza tatizo ninyi mkiwa mitandaoni. Unapajua bukoba wewe? Hatupendagi akili za kijinga na mihemuko. Watu huko wapo salama.

Kweli wew kichwa maji kama ccyemu wengine, yani pamoja na matusi yale lakini bado unajisikia fahari eti uko salama, waweza kujitofautishaje na yule aliyesema katolewa kwenye vumbi na bado akatukanwa lakini kicheko hakimuishi
 
Kweli wew kichwa maji kama ccyemu wengine, yani pamoja na matusi yale lakini bado unajisikia fahari eti uko salama, waweza kujitofautishaje na yule aliyesema katolewa kwenye vumbi na bado akatukanwa lakini kicheko hakimuishi
Mtabaki mkiani tuu...Madaraka ng'o! Kwa upumbavu huo! With vulgar manners! Mtabaki kichekesho mitaani tuu. October is loading.
 
Rais anapota maagizo na maelezo sii ndiyo hapo hapo kwa watendaji wake kuchamka na kuyafanyia kazi ili yafanikiwe...

Nikikuambia shugulikia hili, naondoka, next time nikirudi na kukuta hujashughulikia, nakushughulikia wewe...


Cc: mahondaw
 
China inaandaa watu takriban 10M kila mwaka kuwa wahandisi (Engineers) - Africa inaandaa watu takriban 10M kuwa wachungaji (Pastors) wa madhehebu mbalimbali kila mwaka

Binadamu utaanguka sababu kuna sehemu uliteleza!
 
Na wewe acha kujikomba, kitu gani kiko sawa. Kuwapiga wati risasi 38 bila uchunguzi, kuwateka watu, yuko wapi Ben Mawazo and many others! You must be short sighted and out of your mind!
Huyo binadamu aliyepigwa risasi 38 ni binadamu huyu wa kawaida au Alien?
 
Back
Top Bottom