Mh R Mengi yupo tz?

Mzee R.M anajipanga upya maana siye mtu wa kukurupaka. Baada anakusanya data ili aje na kubwa zaidi. Kuan taarifa kuwa anamtaftia Platform J.K ili wawe na tamko 1 kuhusu ufisadi. Ngoja tusubuli baadae tutajua kama JK anamuunga mkono au la ila ninavyoona nikuwa RM bado yuko fit anakusanya data
 
Mfalme suleimani katika kitabu cha Mithali alisema "maadui zake wana ndimi kali kama ncha ya upanga, vinywa vyao vinamiali mikali na ngurumo mithili ya radi" muda wote aliomba Mungu amlinde dhidi ya maadui zake.
 
BAADA YA kujitetea mh R.A kwamba sio fisadi na kumta R.M kuwa fisadi Nyangumi. mzee wetu huyu amekuwa kimya. Jee yupo lkn tz?


Kwani umesahau serikali ilitaka malumbano baina ya hawa wafanyabiashara kusitishwa mara moja? Unataka apingane na serikali?

Kikubwa ni kuwa Watanzania wengi tuko nyuma yake, na nafasi yake katika historia ya nchi hii dhidi ya mafisadi inajipambanua wazi. Ushauri wangu Watanzania tusipende kusikia watu wanajitoa mhanga na kulipua mabomu halafu sisi kama wananchi hatuchukui hatua zaidi. Hata kama Mengi akiibuka leo na kuendelea kuzungumzia ufisadi, bila wananchi kumuunga mkono kivitendo itakuwa ni kazi bure. Wananchi hawapaswi tena kuwa na uso wa tabasamu mbele ya mafisadi na vibaraka wao, na tunaweza kulidhihirisha hili kwa njia mablimbali ikiwemo sanduku la kura, n.k
 
Tushirikiane kumtafutia hoja. Wanataka kummaliza kabisa. Ila tulishamwambia asione system na baadhi ya uongozi wanamchekea afikiri wanamtaka. They wish him vanish ni vile wanaona itakuwa ni sooo la nguvu. Akae wima na kwa machale.
Kashtukiaa hata wale alioawamini sanaa akiwepoo mkulu ilikuwa ni PLASTIC SMILE!!!!!!!!

Ufisadii uwafikishiee hapoo walipooo leo uwapingee tena wazi wazii..eti mapapaa!!!!

ila RM ana njia nyingi za kutoka kwani karata la kupingaa mafisadiii...
 
Bunduki, sidhani kama kilichomnyamazisha ni ushauri wa wazee! yawezekana ile bahasha ya RA inafanyiwa kazi na dr.hosea, nakumbuka ipp walikuwa mbele kumkebehi kuwa hafai sasa kaamua kufanya kazi. Kumbuka huyu bwana phd yake kaipata British Columbia university chuo bora duniani na sasa anautafuta uprofesa.

Kimsingi ukiwa mfanya biashara usipende kujijengea maadui wengi tena wenye mdimi kali kama RA bila sababu, awaachie akina muhasham mufti dr.slaa zitto mama kilango. Mnaosema mko nyuma yake mnamponza.
 
Eddy, mimi sijasema yuko kimya kwa kufuata ushauri wa wazee, ila nimesema serikali ilitoa amri ya kusitishwa kwa malumbano mara moja baina ya RA na Mengi.

Mimi hoja yangu ni kwenye ufisadi, Watanzania wengi tuko nyuma ya yeyote yule anayepigania mustakabali mwema wa nchi yetu. Na sidhani kama bahasha ya RA ina cha maana ni danganya toto tu na kuwazuga Watanzania who cannot think outside the box. Kama RA angekuwa na la maana hakupaswa kusubiri hadi atuhumiwe ndio awasilishe hiyo bahasha yake. Kuhusu Hosea, chuo alichosemea hakitusaidii chochote, maana ufisadi ni suala la maadili na sio elimu, ingekuwa ni elimu Andrew Chenge kasomea Havard lakini yako wapi?
 
Back
Top Bottom