Mh. Pinda A Town

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,722
13,960
Mitaa ya Arusha Technical umepita msafara wa Vx za kutosha. Tujuzane mtoto wa mkulima anakimbilia wapi?
 
Ok! Uko sawa, kaenda kutoa pole kule halmashauri inapochukua ushuru bila kuchukua tahadhari za maisha ya watu??? Nimekuelewa mkuu.
 
Kaja kuangalia kazi ya kufukua inaendaje,baada ya hapo awachukue tarehe 8 wakapige mpunga ikulu.,,,,cheers.
 
Na hapa RPC atamkamata nani kama sio mkurugenzi anaekusanya ushuru huko migodini?
 
Miviongozi ya bongo inapenda majanga na misiba ili iuze sura, inakera sana, hata siku moja hutayasikia yakiongelea usalama mahala pa kazi, ngoja janga litokee matamko ndio yanaanza. Muogopeni Mungu viongozi wa bongo.
 
Hivi msafara kama huo wa kutoa pole na matamko unagharimu kiasi gani? maana ninakosa maana ya kuwa na wakuu wa mikoa, sisi ni masikini lazima tuwe tunajiuliza na hayo jamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom