Mgema akisifiwa tembo hulitia maji

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,498
16,688
Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.

Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.

Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.

Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.

Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.

basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?

Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!

TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
 
Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?

Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
 
Hawezi kubadilika na ndiyo anaenda kuiua CCM
 
Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?

Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
Sijui na kazi ya baraza la mawaziri ni nini?
 
Wenye heshima ni kinani nchi hii ikiwa watu waliingia madarakani wakiwa masikini na sasa ni mabilionea?,wezi wa kodi,utawaheshimu wewe mke wao,sio jamii ya watanzania
 
Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?

Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
Kwani mpaka sasa hujui serikali imeshindwa?

Ndio maana unaona jalamba linapigwa na Mwenezi taifa
 
Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.

Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.

Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.

Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.

Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.

basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?

Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!

TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Baadhi ya wana ccm walobaki kidogo wenye fikra chanya
 
Mim bawaacha japo nakupinga. Nasema Makonda akanyage tulichelewa sana
 
Mkuu kunyweni mlilolikoroga.
Umeambiwa mwenyekiti aliingia na jina mfukoni.

Na kwamba nyie wengine ni vyura mnasumbua acheni ng'ombe anywe maji😂😂😂😂
Chakaza
Bams
 
CCM mbele kwa mbele, tunataka kufuta upinzani kwani vichwani mwetu bado tuko enzi ya chama kushika hatamu. Chama kinaendesha serikali at operational level na chama ni supreme - na Magu na vijana wake ndio walipitiliza. Sasa huyu jamaa anataka nguvu kama zile za uRc azichanganye na party supremacy. Ni juu ya mwenyekiti kuamua kama naye anaenda ki magu magu au vipi.
 
Inashangaza katibu mwenezi wa chama anampa maagizo waziri mkuu tena hadharani, chama na serikali wapi na wapi?

Sawa ni chama tawala, lakini maagizo ya chama tawala kwenda serikalini hayafai kutolewa kwenye majukwaa tena kwa mbwembwe na majivuno. Huko ni kuwadogosha walioko serikalini na kutufanya sisi wananchi kama hawana wanalofanya..
Hiyo ndiyo Ccm,
Ati leo Makonda alie Kataliwa na dunia ndie ana muamrisha PM!!!
Kila siku huwa nasema hizi kazi za kupeana zisizo na job description ni hatari sana.
Huyu jamaa ameumiza watu wengi sana. Ameharibu maisha ya familia nyingi sana. Ati leo ni msemaji wa Ccm.
Halafu hajui kama msemaji anasubiri kutumwa la kusema.
Ni sawa na Zuhura Yunus pale Ikulu aanze kutoa amri kwa Rais
Ccm hoyee
 
Wenye heshima ni kinani nchi hii ikiwa watu waliingia madarakani wakiwa masikini na sasa ni mabilionea?,wezi wa kodi,utawaheshimu wewe mke wao,sio jamii ya watanzania
@FaizaFoxy atatokwa povu kwa hili
 
Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.

Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.

Kama vile alipoanzia kwenye sakata la watu wa ardhi kino, ndivyo anavyo wavaa watu wenye heshima bila kupima kauli zake.

Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.

Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.

basi hata angeomba ushauri kwa walio mtangulia jinsi gani walihudumu kwa ufanisi, lakini sio kwa kupuyanga kule shabaha yake nini?

Mwenyekiti huyo mtu hatufai, tutakuwa hoi Serikali za Mitaa 2024 usipokuwa makini kubali ulikosea! Akikosa ushawishi na kutosikilizwa atashikia watu silaha!

TUMBUA KAMA ULIVYOTEUA!
Kwani weye ni mgeni nji hii?
 
Mwenyekiti usije ukasema sijakuambia lakini mpe miezi sita, halafu mtumbue anapwaya atakuangusha.

Kwa style ile na mbio zile sijui anakimbilia wapi, ukizubaa kesho atamtuma katibu mwisho wa siku makamu mwenyekiti ghafla bini vuu unapewa wiki tu ndugu mwenyekiti ugawe kilo za sukari kwa watu wazima wote wenye kupenda kunywa chai.
Na kuna picha nimemuona Mwenyekiti ameshikwa bega na Mwenezi huko ukurasa mwingine pitia post moja baada ya nyingine👇

Similar Discussions

Back
Top Bottom