Mh Mullugo,mamitihani ya mock mkoa kidato cha nne yamevuja hovyo hapa Dodoma manispaa!

Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,037
458
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana,mitihani yote imevuja.Jana nimewaona vijana wana solve paper la biology kwenye daladala na leo limetoka hilohilo!Nimewauliza wanafunzi wanadai wanamitihani yote na mingine nimeiona kwa macho.Sasa huu kama si UTAPELI ni kitu gani!Wazazi tumechangia fedha uendeshaji wa mitihani hii.Hivi mnatutengenezea taifa la sampuli gani?Tunakuomba kama ulivyoifunga central sekondari basi umwajibishe haraka REO wa Dodoma maana huu sasa ni uhunu.FULL STOP!
 
Mtihani wa dhihaka huo,acha wafaulu kwa uongo,msema kweli CSEE!

Ni kweli mkuu msema kweli ni CSEE,tatizo ni matumizi mabaya ya muda na fedha kwa limtihani ambalo lipo kwenye mpango halafu linaratibiwa hovyo.Halafu hii inawajenga wanafunzi kubweteka jambo ambalo ni hatari pia.
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana,mitihani yote imevuja.Jana nimewaona vijana wana solve paper la biology kwenye daladala na leo limetoka hilohilo!Nimewauliza wanafunzi wanadai wanamitihani yote na mingine nimeiona kwa macho.Sasa huu kama si UTAPELI ni kitu gani!Wazazi tumechangia fedha uendeshaji wa mitihani hii.Hivi mnatutengenezea taifa la sampuli gani?Tunakuomba kama ulivyoifunga central sekondari basi umwajibishe haraka REO wa Dodoma maana huu sasa ni uhunu.FULL STOP!

REO hahusiki na uendeshaji wa mitihani ya Mock!Ni watu wa TAHOSSA hao!
 
Hta Shy imevuja mbaya hadi TAHOSSA wamebadilisha mitihani ya kesho ya mwisho its real discouraging sijui hawa watoto wanamdanganya nani? Ila wa kulaumiwa n wakuu wa shule na wataaluma wao kwa kuendekeza njaa
 
Back
Top Bottom