Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!!
Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea
hana uwezo wa kukusaidia huyo au una mchora tu!? Hana msaada kabisa wasiliana na mbunge yeyote kutoka CCM atakusaidia. Nahisi itakuwa kna hitilafu ndogondogo hakna mgawo wa umeme katika nchi hii. Specify eneo ulilopo tafadhali.Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!!
Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea