Mh. Mnyika jimbo lako hatuna umeme

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!!

Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea
 
Nimeondoka kimara toka asubuhi hivi mpaka sasa haujarudi,tunaomba mamlaka husika zilitolee maelezo tatizo hilo.
 
Mbezi, kimara,mwenge,udsm,mlimani city.mabibo hostel,xternal,makuburi manzese hakuna umeme tangu asubuhi jana na hatujui kama utarejeshwa lini. Wananchi tumesumbuka mno two days without power? no information! !!!
 
Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!!

Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea

Acha Uongo Mkuu Maana Waziri alisema Mgao wa Umeme ni Historia
 
Jamani tunamtaka yeye atupe taarifa maana organs husika hazijaonyesha kujali kabisa------simlaumu ila yeye anaaminika kwa kauli na matendo. Kama raia wake kiungozi ni vema akatupa ukweli, my tab is about to go off. Ayi kuchaa kaya!!!
 
Si serikali wala Tanesco waliotoa taarifa ya kukosekana umeme kwa eneo hili!!!!

Wananchi hatuna umeme toka jana asubuhi mpaka muda huu. Mh. Mnyika tuambie nini kinaendelea
hana uwezo wa kukusaidia huyo au una mchora tu!? Hana msaada kabisa wasiliana na mbunge yeyote kutoka CCM atakusaidia. Nahisi itakuwa kna hitilafu ndogondogo hakna mgawo wa umeme katika nchi hii. Specify eneo ulilopo tafadhali.
 
UDSM Waitisha mgomo kudai umeme mpaka saa sita usiku na umeme ukaletwa.mgomo ukaisha na police wakatawanyika. hiyo ni nguvu ya wasomi. inafaa kuigwa na jamii
 
Back
Top Bottom