Well said . Yes, maisha yake binafsi wakati mwingine yanaweza kuathiri utendaji wake , ww unafikiri anakwenda kumbi za starehe mpaka saa 10 usiku unategemea kesho yake atakuwa yuko active kuwatumikia wananchi kweli ?.
kwa kuwa umerudia kauli hii mara mbili nahisi una ajenda binafsi na Halima Mdee na sio suala la barabara. Kila raia na haki ya msingi ya kwenda atakapo sasa wewe inakuuma nini? au unamtaka? Tumia njia za kawaida badala ya character assassination.