Elections 2010 Mh. MDEE TEKELEZA AHADI ZAKO WANANCHI HATUKUELEWI AISEE

Tumesubili miaka 50 bila maendeleo itakuwa miezi 6, tumia akili hiyo hiyo kuiuliza serikali ya Magamba juu ya ahadi zao zipo hapo juu zimewekwa na masa...
Kwahiyo tutaendelea kusubiri tu kwakuwa tumezoea kusubiri? Sasa tunataka mabadiliko ya nini?
 
Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.

kwani pesa za kutengenezea barabara zinatoka wapi? zinatoka kwenye pochi ya Mdee? hujasikia serikali kufilisika na kukopa mishahara?
 
Mpe nafasi anaweza na akuahidi uongo, mimi ninaimani atatekeleza kwa usahihi kabisa, tatizo lisiwe ushabiki wa kisiasa.
 
Tumesubili miaka 50 bila maendeleo itakuwa miezi 6, tumia akili hiyo hiyo kuiuliza serikali ya Magamba juu ya ahadi zao zipo hapo juu zimewekwa na masa...

Kwa nn sasa aliomba kura zetu kwa kitu ambacho hakiwezi? tatizo huyu dada u sista duu umemzidi, mwambieni bana sio tunavyotaka atuondolee kero zetu
 
kwani pesa za kutengenezea barabara zinatoka wapi? zinatoka kwenye pochi ya Mdee? hujasikia serikali kufilisika na kukopa mishahara?

Sasa tunaanza kuongea. Yeye anatakiwa awasilishe malalamiko ya wananchi wake juu ya eneo lile. Na hayo mambo ya hawara yake hayatuhusu. Na pia anatakiwa atoe feedback kwa wananchi juu ya matatizo yale. Kama kuna breakdown ya communication inakuwa tatizo
 
Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.
Tuwaunge mkono CHADEMA tuwaondoe hawa Magamba halafu tuhoji vitu kama hivi vinginevyo itakuwa ngumu sana.
-sijui Halima ana madiwa wangapi + wenyeviti wa vitongoji..
-serikali haina pesa huku Arusha wanajeshi wengi hawaendi kazini magari yao hayana mafuta sasa sijui kama serikali inapesa za kujenga barabara wakati hata mishahara ni pesa za kukopa au alisema atajenga kwa pesa yake.
 
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm

Jaribu kupata muda kulewa kidodogo majukumu ya kisiasa na wanasiasa.
mbunge hawezi kiutengezabara bara. Anachoweza kufanya ni kuwafitilia tu wahusika amabayo ni wizara ya Ujenzi au ofisi ya Jiji. na hawa ndo watekelezaji wana wako chini ya Magamaba.........

kwa kero yako nadhani msaidie Halima mdee kuwakaba koo meya wa kinondoni, na kurugenzi wa manispaa.

Vingenevyo kama ni maandamo basi mwambieni Halima mdee kwenye ratiba ya maandamo wananchi wa kawe mnataka muandamane kwa jaili ya kudai bara bara hiyo kwa wahusika. Naamin Halima mdee na CDM watalifanyia kazi . That is all CDM can do.
 
Tuwaunge mkono CHADEMA tuwaondoe hawa Magamba halafu tuhoji vitu kama hivi vinginevyo itakuwa ngumu sana.

Mkuu endapo kazi ya JIMBO la KAWE imewashinda wataweza kuachiwa dola hawa, hametuaminisha kupitia mtihani mdogo wa JIMBO LA KAWE kuwa kazi hawaiwezi.
 
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm

images
 
Masa inamaana kama jamaa hajatekeleza ahadi zake basi na wengine wafanye hivyohivyo, kweli, sasa mabadiliko gani mnayopigia kelele kila siku?.

ebu soma ahadi ya 55 tuone kama inawahusu wanaTarime na wanaArusha!
 
Jaribu kupata muda kulewa kidodogo majukumu ya kisiasa na wanasiasa.
mbunge hawezi kiutengezabara bara. Anachoweza kufanya ni kuwafitilia tu wahusika amabayo ni wizara ya Ujenzi au ofisi ya Jiji. na hawa ndo watekelezaji wana wako chini ya Magamaba.........

kwa kero yako nadhani msaidie Halima mdee kuwakaba koo meya wa kinondoni, na kurugenzi wa manispaa.

Vingenevyo kama ni maandamo basi mwambieni Halima mdee kwenye ratiba ya maandamo wananchi wa kawe mnataka muandamane kwa jaili ya kudai bara bara hiyo kwa wahusika. Naamin Halima mdee na CDM watalifanyia kazi . That is all CDM can do.

Mkuu Zing heshima mbele,

Kwa bahati nzuri huwa mimi si mtu wa kuacha mambo juu juu, japo nilikuwa Dar es Salaam kwa siku chache niliweza kufuatilia issue hii na niliambiwa funds za kutengeneza barabara za msasani, ile ya pembeni ya Tanesco, nyuma ya ofisi za Zantel hadi maandazi road pamoja na mitaa ya osterbay na masaki etc zilikuwepo na tatizo lilkuwa utekelezaji tuu, niliuliza sababu nikajibiwa kuwa wanaanza kwanza na mitaa ya Mwananyamala etc.

Kwa kifupi ndiyo hayo nayoweza sema.

Tunahitaji mtu atakayefuatilia kero za wananchi, kazi ya ubunge ni full time job kwa mtu makini na mwenye kujali maslahi ya Taifa lake.
 
Kama serikali chini ya chama tawala CCM imeshindwa kutengeneza hiyo barabara kwa kipindi chote tangu tujitawale (almost 50yrs now) unategemea mbunge ambae hata mwaka mmoja hajamaliza aweze kutataua hizi kero,jamani kuweni waungwana na hawa wabunge acheni mambo ya kinafiki
Tunasikitishwa sana na style ya uongozi ya Mh. Mdee ( Mbunge wa kawe). Wakati anaomba kura alikuwa mnyenyekevu ila baada ya kupata ubunge amekuwa sasa malkia kwa wananchi wake badala ya kuwatumikia kama alivyo ahidi. Nakumbuka moja ya ahadi zake wakati wa kampeni ni kutengeneza barabara ya msasani ambayo ina anzia hapa Tanesco na kuzunguka eneo la msasani kwa mamwinyi ndani ya miezi mine. Ila mpaka sasa hakuna lolote na barabara ile inazidi kuharibika. Sasa Mh. Mdee mbona umeahidi kitu ambacho hukiwezi ? sie tulikuchagua ututumikie sisi au ufanye u sista duu wako ?. Tafadhali acha huo utoto wako na tekeleza ahadi zako, hatukuelewi badala ya kushughulikia kero zetu wewe kila siku uko kwenye maandamano ya cdm
 
Sasa tunaanza kuongea. Yeye anatakiwa awasilishe malalamiko ya wananchi wake juu ya eneo lile. Na hayo mambo ya hawara yake hayatuhusu. Na pia anatakiwa atoe feedback kwa wananchi juu ya matatizo yale. Kama kuna breakdown ya communication inakuwa tatizo

Mkuu funds zipo nazikuwa na zimetengwa tayari kwa kazi hizo..tatizo ni ufuatiliaji.
 
Kwa nn sasa aliomba kura zetu kwa kitu ambacho hakiwezi? tatizo huyu dada u sista duu umemzidi, mwambieni bana sio tunavyotaka atuondolee kero zetu

Kwa tafsiri yangu, naona wewe unamuonea wivu Mdee na pia si mmoja wa watu waliompigia kura kabisa! Mdee amechaguliwa baada ya bajeti kupitishwa, hiyo barabara itajengwa kwa pesa gani? Mbona mnaongea kama mavuvuzela? Acha kulaumu bila kufikiri kwa kutumia vichwa vyenu!
 
Yani kiherehere tu! kwani wewe ndio msemaji wa wanakawe?? Naona una chuki binafsi na Mdee pamoja na chadema, hivi wewe si usubiri kwenye bunge la bajeti 2011/2012 kama hatatetea jimbo lake kwa ku pinpoint hayo matatizo yenu.
 
Back
Top Bottom