Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Nilisema kwamba kama Wana Arumeru watayakataa MATUSI ya Lusinde kwa kukipatia USHINDI CDM basi huo ndiyo utakuwa mwanzo na mwisho wa Lusinde politically.

As if Waarumeru walinisikia wamekinyima ushindi CCM and the writing is already on the wall. Lusinde politically is walking dead man. CCM hawatamuita tena kwenye by election na the last nail to the coffin of Lusinde political life, hawatampitisha tena kwenye kura za maoni 2015, kwani kufanya hivyo ni sawa na kugawa JIMBO kwa CDM and CCM they are not that much stupidy.

Lusinde amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. MATUSI DOES NOT PAY LUSINDE! Mark my worlds!
 
Cha kushangaza zaidi aliwahi kuomba bungeni eti wabunge wawe manapimwa akili kabla ya kuwa wabunge. sijui alikuwa anajichulia.
 
Nikiwa kama mpenda maendelea na utulivu na amani ya nchi yangu nawashauri wana ccm wafanye yafuatayo
1. Wamwambie ukweli huyu Lusinde kuhusu matamshi yake ya matusi kwenye majukwaa.
2. Apigwe marufuku kuongea kwenye mikutano na kwenye vyombo vya habari kuhusu mambo ya chama.
3. Wamtake kwa hiyari yake ajiuzulu ubunge wake kwa kuwa ameidhalilisha hiyo kazi ya kuwawakilisha wana Mtera.
4. Wampe ushauri aombe radhi yeye binafsi kwa kutukana hadharani.


Ni aibu kubwa kwa chama kama ccm kuwa na mtu aina ya Lusinde kwenye chama tena ni kiongozi ktk chama. Binafsi naona kama ni mmojawapo aliyechangia kushindwa kwa ccm. Tumuwajibishe huyu jamaa kabla wananchi hawajatuwajibisha!
 
Huyu mbwiga hamjui hata baba yake, ni mtoto wa mama, ni m/haramu

If this is true; then alitakiwa awaheshimu wanawake saana lakini kutokana na hii clip, maneno yake yanaonyesha kinyume kabisa. Hivi mama yake angeamua kumtupa au kumuondoa duniani angekuwa hapo alipo? Regardless ya elimu yake, kuna vitu ambavyo mtu mzima lazima uelewe bila hata kusoma mahali. Sijui wazee wa CCM kama Msuya, Kaduma etc wanajisikiaje wakiona hii clip. Yaani hamna sera hata moja aliyojaribu kuielezea?

 
Kumbe jamaa kichwa eh! Bahati mbaya ccm hawakuweza kupata japo watu wa3 km huyu jamaa wangepata ushindi wakimbunga maana watz siku hizi wamezidi kuwa wajinga kwani wanapenda wapambe wenye matusi.
Kweli sisiemu ni wendawazimu yaani hadi tyson anapelekwa kukampeni?
 
Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

kwa kauli hizi sina uhakika labda viongozi wote wakapimwe akili. Au alifikiri yupo baa?
 
Kwa kuongezea, nashauri kwa vile aliongea hayo mbele ya wana magamba huku wakishangilia na viongozi wao na pia tena mbele ya watoto, basi ni jumuiya nzima ya magamba wanapaswa wapimwe akili. Kwa mwenye hekima walipaswa kumnyang;anya mic kwa hakuwa na akili timamu. Tena anajishuhudia kuwa yeye ni kichaa wa kuzaliwa.

Lakini sitazamii kuwa viongozi wa cdm waliotukanwa watakaa kimya kwa ushahidi upo, hii ni jinai.
 
Kwa nini upoteze muda kumpima akili?
waliompa nafasi ya kugombea ubunge (hadi akamngoa mzee Malecela), waliomleta hadi Arumeru si wanamjua fika na ni mtu wa namna gani na wamemwachia afanye hayo yote?
Kwani kule Arumeru, viongozi waliokuja walijilete wenyewe?
Kila mtu si alikuja kwa kazi yake?
Bwana Kibajaji alitumwa kufanya kazi aliyofanya.
Alichofanya ni kupiga mstari wa mwisho kwenye jeneza aliloanzisha Mkapa, wasira na wengine.
Bahati mbaya jeneza hilo limewazika wenyewe.

Read between the lines....
 
Wakuu,

Mmeona CV yake lakini?
Tusimlaumu DOBI wakati KANIKI ni rangi yake.
Nahakika ndani ya CCM, hakuna aliyeyaona matusi ya Mbunge huyu kwani, kwao hiyo ndo lugha yao toka Mkapa hadi Mchemba, sembuse Lusinde!!
 
ama kweli magamba wameisha, kuwa na wabunge kama wasila, lusinde, majimarefu (mganga wa kienyeji), jafa, mwigulu na lowasa ni ishara tosha kuwa chama kizima hakina mtu mwenye busara hata mmoja!
 
Anaanza kwa kutambulishwa kuwa anaitwa Mh Lusinde.Mbumbe wa Mtera alimaarufu kwa jina la Kibajaj...



1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Naomba mniwie radhi sana maana najua haya matusi yatawakwaza wengi lakini tupo kwenye mpango wa kuhakikisha Audio na Video zake zinaenea Nchi nzima tuijue CCM ya leo

Nawasilisha.
lusinde au mtu wake wa karibu ukiona hii habari kampe swali hili

Lusinde wana Arumeru wamekudhibitishia kati ya viongozi wa CHADEMA na wa ccmchoo nani wa kike?

na CHADEMA kama BABA anashangilia kuzaliwa kwa mtoto JOSHUA NASARI hongereni nyie wa kike ccm

kwa kuzaa poleni kwa uchungu.
na iwe fundisho watu wanahitaji sera sio matusi na pia wape hongera wazazi wako kukupeleka chuo cha matusi
bahatimbaya hawakukuelekeza sehem ya kuyatumia na kwa watu gani ujue yamekurudi

nalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani kwa nguvu zote matusi uliyoyatoa Lusinde na iwe laana kwako kwa kutokuzingatia umri kwa uliowatukana na pia wasikilizaji waliokuwepo idadi yao ndio iwe ndio mara laana ulaaaaaaaaaaaaaaaaaniwe Lusinde.
 
ipo siku hata kwa polisi watu watasema inatosha huu ujinga wa polis kutumika na ccmchoo kwa ujinga.
polisccm badilikieni muwatumikie wananchi.
mfano mzuri ni kwa tbcccm ona anguko lake linakuja la aibu na polisccm kama hamtalijua yatawakuta.
 
Haya matusi i in balaa. Jamaa anatukana Kama Yuko kijiweni namachalii wavuta bangi .kumbe Yuko kwenye mlkutano wa siasa. Tena kampeni
 
lazima ni mgonjwa wa akili au anavuta bangi, mtu mzima hawezi kuongea matusi makubwa hivyo bado akawa kiongozi ktk chama, ajiuzuru, uwezo wake wa fikra upo chini sana kuliko hata wa mtoto wa chekechea. watu wa jimbo lake poleni sana kuchagua kichaa.
 
If this is true; then alitakiwa awaheshimu wanawake saana lakini kutokana na hii clip, maneno yake yanaonyesha kinyume kabisa. Hivi mama yake angeamua kumtupa au kumuondoa duniani angekuwa hapo alipo? Regardless ya elimu yake, kuna vitu ambavyo mtu mzima lazima uelewe bila hata kusoma mahali. Sijui wazee wa CCM kama Msuya, Kaduma etc wanajisikiaje wakiona hii clip. Yaani hamna sera hata moja aliyojaribu kuielezea?


i am sure those CCM guys we still appreciate, are hiding, and arewill not listen to this twice. Lakini pole zao, kwani ni dalili ya kushindwa kwao kurithisha maadili, kama ningekuwa mimi, sijui ningefanyaje, yani it is so depressing.
 
Matusi ya namna hii hadharini mbele ya watoto nafikiri hata familia yakr kuna shida kubwa tena uwezi kujitia kichaa kihivyo kwa ajili ya kuganga njaa.
 
Nadhani wengi wetu tumefuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, na tumesikia mengi lakini kubwa lililobeba vichwa cha habari vingi ni suala la Mhe. Livingstone Lusinde kushusha matusi jukwaani. Ni jambo ambalo halikutegemewa kufanywa na mtu mwenye hadhi kama ya kwake. Tena sio kwa Lusinde ambaye kwenye uchaguzi wa 2010 alimuangusha Mzee Malecela ambaye anasifa kubwa kwa taifa hili.
Napata shida sana kuamini kwamba wananchi wa jimbo la Mtera waliweza kufanya maamuzi ya kumbwaga Mzee Malecela na kumchagua Lusinde kuwa mwakilishi wao kwa aina hii ya uongozi aliyoionesha Lusinde pale Arumeru M. Ninakiri kutomfahamu Lusinde kiundani na ningependa kumfahamu zaidi ilikujua ni mtu wa aina gani nje la jukwaa. Upo umuhimu mkubwa sana na wananchi kumfahamu mtu anayetaka kuwa muwakilishi wao badala kuuziwa mbuzi kwenye kiroba. Mwenye wasifu wa huyu Mheshimiwa tafadhali atupatie ili tumfahamu ili tutakapo muhukumu kwa matendo yake basi tumuhukumu kwa haki isije kuwa ulimi uliteleza tu pale jukwaani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom