Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Unajua kama CDM walitukana CCM walipaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa maana wao ndio wakongwe ila sasa ukomavu unaonyeshwa na CDM badala yao, hayo ndiyo ya firauni sasa.. looh.

Kama CCM kinatarajia kuendelea kuheshimiwa nchi hii hawana budi kumshuhulikia huyu Lusinde na wenzake, wakinyamaza tutahitimisha maana ya uheshimiwa ndani ya CCM ni upi..
 
Sitegemei iwe iwavyo CDM, LEMA, MBOWE Na SLAA binafsi wanapaswa kumwacha Lusinde atambe. Ushahidi wa matamshi yake watosha na mashtaka ni muhimu. Katamka wazi kuwa Lema aliolewa na bwana wake amjua. Katamka wazi Slaa kama padri aliwatia mimba wanakwaya. Katamka wazi kuwa Nyerere kaliwa ila tu wao hawasemi. Ni matusi machafu kuliko na japo yaonyesha kutapatapa kwa CCM hii ni zaidi. CDM msituangushe huyu akomeshwe.

Huyu jamaa aachwe tu wala asifanywe kitu. Kinachotakiwa ni kutoa elimu kwa uma. Imagine hivyo alivyoongea ndio jinsi alivyoomba kura jimboni kwake na akashinda. Hata alipokuwa anatukuna bado watu walikuwa wanamshangalia. Kama raia wakifundishwa kusikiliza hoja makini basi hata mtoa hoja atatakiwa kutoa hoja makini. Vijembe ni kawaida kwenye siasa lakini mwenzetu yeye kapitiliza. Yaani kaamua kutukana muda wote wa hotuba yake. Huwezi amini miaka hamsini ya uhuru tuna mbunge kama Livingstone Lusinde. Kwa stahili hii mikataba mibovu itaendelea kama watunga sheria wenyewe ndio hawa
 
Haya kumekucha sasa Vicent Nyerere akitukana akina Mkapa mwaona sawa, akitukana Lusinde eti akapimwe
 
This is beyond the pale! CCM should kick him out. He is a disgrace.

Remind SAF on Suarez.

Lets be fair to Lusinde, if you kick him out kick out Mkapa, Wassira et al as well. People like Lusinde got this confidence from their top brasses. This is the face of CCM. It is no longer a party of people but a party of hooliganism and mafioso. This is the problem for these people to see politics as a career for self serving not public serving. They only thing in their heads and minds is that CDM wants to take their job and make them die for hunger.
 
Mimi nataka kujua ni watu gani wa CCM waliokuwepo wakati huyu bwana akiongea? Kwa nini hawakumnyanga'nya microphone? Je ina maana walikuwa wanakubalina na kile alichokuwa anakisema? Kwani huyu bwana ameongea kwa takribani dakika kumi na tano.

Mkuu hii kitu walishaipanga na Team nzima ya kampeni...ndio maana yule MC alivyomkaribisha alipatwa na hofu fulani hivi.(ukiitazama video).
 
But this is unprecedented! I have never heard an MP using that kind of language in public before. Never!

What he spewed is absolutely indefensible. And if the CCM top brass doesn't act fast then that's pretty sad.

How can they let one of their MP's stoop so low like that?

doubt if anyone in that gang (in red) is still sane!
 
Aah sasa hii imezidi kama hii ni kweli basi CCM = Chuo Cha Matusi ( kama alivyoitamka mara kwa mara CCM woyeeeee) na Lusinde ni moja ya wanafunzi waliofany vizuri katika somo hilo. Lakini embu tutafakari kwa kina huyu ni mbunge anawakilisha wananchi wa mtera hivi jamii yake inategemea chochote toka kwa kiongozi huyu? Mbaya zaidi ametanmbulishwa kama mjumbe wa halmashauri kuu ya hicho chama, na huyo ni mdogo bado mpya hajakomaa vizuri je yale ma nguli yakisimama kutoa matusi itakuaje????
SIJAIPENDA na kura haziombwi hivi wandugu nchi bado ina matatizo kibao tuangalie namna gani tunaikomboa jamii yetu na sio kuendekeza huu upumbavu.
 
I have watched this video with shock!!! I did not realize that some of our so called leaders have sunk so low! Or were they up there really? This is a clear demonstration of highest disregard and disrespect to people who set aside their time and attended the campaign meetings.
Do we have strong and sober leaders who can say publicly no to such campaigns? Surely this is not politics!!
 
Nimesikiliza hotuba ya Lusinde jamani hajui kuwa wazazi wake na viongozi wake wa serikali wanamsikiliza? kweli anatukana vile kuna maadili kwenye CCM kweli? Dr Slaa ni mkubwa sana kwa Lusinde lakini anamtukana sana. imenisikitisha sana sana.
 
Tatizo lusinde elimu yake drs la nne. Ngonyani kalumanzira. Kuwe na kigezon cha elimu tafadhali, ccm ina wehu kibao, vilaza ndio usiseme na kilaza mkuu baba r katulia kimya wadogo zake wanaharibu.
 
Mwenzenu naona aibu kwa niaba ya mke wake looh!!!! Naona ningekua mimi ningekimbia nyumba wallaih......yani huyu ni mume,baba,kaka,mjomba Yesu wangu uwiiiii......halafu anaitwa Muheshimiwa!!!!!!! Watz tumekwishaaaaa
 
Tatizo lusinde elimu yake drs la nne. Ngonyani kalumanzira. Kuwe na kigezon cha elimu tafadhali, ccm ina wehu kibao, vilaza ndio usiseme na kilaza mkuu baba r katulia kimya wadogo zake wanaharibu.

Kuna wenye elimu ya chekechea na hawaongei utumbo kama huyu!!!! Elimu haihusiani hapa ni ustaarabu tu jamani,sidhani kama zimo zotekichwani kwake labda ana hitilafu kidogo.Nina uchungu sana kwa matusi aliyoporomosha naona na mm:mimba:itakua inanisumbua duuuh:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
 
Dah! Ama kweli. Huu ni uchaguzi mdogo tu wa kiti cha ubunge, na yey Lucinde hagombei. Sipati picha angekuwa anajinadi angetumia lugha gani. Hofu yangu ni wale watoto wa shule wenye mabegi mgongoni ninao waona hapo.....
 
Jamani nilivosoma nikajua uongo but kwa kushuhudia kwa macho na masikio
Yaani nimeogopa na kuumia roho kweli hii ndo Tanzaia ni Mbunge eti ana jimbo?
Anongea kudaadeki sijui ujinga gani guys hivi hakuna sheria inayombana huyu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom