The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,105
Katiba imeandikwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya kikundi fulani. Imepindishwa pindishwa ali mradi angalau ka-ulaji kakufa mtu kawe guaranteed.
Sasa, ukiwa na Serikali tatu, ina maana serikali ya Tanganyika itakuwa na u-laji mkubwa kuliko ya Muungano kutokana na ukubwa wa uchumi wa Tanganyika. Vile vile hii inamaanisha kuwa Raisi wa Muungano atakuwa analicheo LIKUUUUUUUUBWA lakini Raisi wa Tanganyika atakuwa na mihela mingi zaidi - mustakhabali utaopelekea kuheshimiana kupungua kiasi fulani.
Ukweli ni kwamba, ikiletwa serikali ya Tanganyika, Muungano hautakuwepo tena.