Mh. Kiingunge Ngombale Mwiru, Ushauri wako pale Chimwaga Dodoma Umetufikisha hapa...!

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Nakumbuka Vizuri mchakato wa kumtafuta Mgombea Ndani ya CCM mwaka 2005 Ulivyo kuwa Na makundi na vuta niku vute nyingi...

Kwa Wanaofahamu Kwenye Top 3 ya 2005 Jina la JK lilikuwa Halipo..walipita Wengine Na ambae alipata Nafasi ya kwanza ni Mwandosya ndie angegombea Uraisi wa nchi mwaka 2005,Baada ya vuta nikuvute Mh kingunge Alisimama na kuwauliza wajumbe wa CCM, hivi Tumsimamishe JK anaekubaliwa Chama kiendelee kuongoza hata kama uongozi wake utakuwa mbovu Au TUMSIMAMISHE mtu mwingine Tushindwe CCM ife? Ndipo wajumbe wakakubaliana kumpitisha JK ambae hata 3 bora hakuwepo.

Awali ya hapo Bwana BWM akiwatumia TISS kukusanya Maoni Nani Anakubalika kati ya waliochukua Form Ripoti ilikuja Kuwa JK ANAKUBALIKA but Apson ambae alikuwa Mkurugenzi kwenye Report hiyo Ali koment kuwa Jamaa anakubalika lakini Hafai katika uongozi na Hataisaidia IDARA YA TISS kufikia Malengo..

Jk Alipo apishwa na kutinga ikuru alikutana na Barua ya kujiudhuru ya Apson...

"lawama lawamani"
 
Aisee!...Umetukumbusha ishu ambayo wengi hatujui kuwa non-perfomance ya JK inajulikana, inapimika kabisa ki'viwango na ni jambo la wazi tokea enzi hizo!
 
kipindi hicho mwananchi keshapumbazwa na magazeti

Halafu na hao waandishi wa hayo magazeti wanatumika kama toilet paper wanafiki wakiingia ikulu wanawatosa na kula bata kivtao. Shv tena maandishi yameanza kuwaandalia wasanii saniii tena ndio wanafaa urais.....watu walio makini hawawaandiki vzr shida sn nchi hizi za umasikinini
 
Majuto ni mjukuu. Ka-Kingunge kenyewe hakoooooo makwao kanasubiri mauti. Lakini Ndg. zetu TISS, we need a truly Independent TISS, the TISS that safeguards the interests of the State for the betterment of its country men. the TISS we have now is for the interests of the state at the suffering state of the country men.

TISS mnaonaje taifa linakokwenda? Deni la taifa, umeme, migomo, ufisadi, maandamano, wanafunzi 5000 kuingia kidato cha I wakiwa hawajui kusoma na kuandika, mabadiliko ya mara kwa mara ya Baraza la Mawaziri, n.k. haya yote ni viashiria vya Taifa kwenda mrama. Where is your role? whom do you vet kama nafasi nyeti za uongozi zinakaliwa na vibaka?

Mwaweza kusema mnashauri hawashauriki sasa je huo ndiyo mwisho wa kazi yenu kwa wasioshaurika?
Mnaua wanaoshaurika na kulimbikiza wasioshauri kwa ajili ya manufaa yenu binafsi. TISS IWE KWA MANUFAA YA TAIFA.
Kwa CIA/ FBI/KGB/MOSAD kiongozi asiyeshaurika HUONDOLEWA KI-TISS kwa sababu hana tija kwa taifa. Sasa ninyi where do you borrow these models of operations?

Othman vp Kaka? Zoka mambo ya Ubelgiji yameishia wapi? Siasa na posho na matamanio ya kuwa DG hayaendi hivyo! Nitakuja baadae kuwashauri tena.
 
Tusingefikia hapa ushauri wa kichwa kimoja umeigharimu Taifa.
 
Hivi huyu mzee kazi yake nini vile naona yuko kimya au na yeye hana idara maalum km alivyo mwandosya?
 
kumbe all along ccm walijua huyu mtu sio wa kiongozi bora ila kwa vile walitaka popularity na chama kibaki madarakani wakampitisha na 2010 walikua na chance ya kumpiga chini lakini bado wakampitisha aisee
 
Nakumbuka Vizuri mchakato wa kumtafuta Mgombea Ndani ya CCM mwaka 2005 Ulivyo kuwa Na makundi na vuta niku vute nyingi...

Kwa Wanaofahamu Kwenye Top 3 ya 2005 Jina la JK lilikuwa Halipo..walipita Wengine Na ambae alipata Nafasi ya kwanza ni Mwandosya ndie angegombea Uraisi wa nchi mwaka 2005,Baada ya vuta nikuvute Mh kingunge Alisimama na kuwauliza wajumbe wa CCM, hivi Tumsimamishe JK anaekubaliwa Chama kiendelee kuongoza hata kama uongozi wake utakuwa mbovu Au TUMSIMAMISHE mtu mwingine Tushindwe CCM ife? Ndipo wajumbe wakakubaliana kumpitisha JK ambae hata 3 bora hakuwepo.

Awali ya hapo Bwana BWM akiwatumia TISS kukusanya Maoni Nani Anakubalika kati ya waliochukua Form Ripoti ilikuja Kuwa JK ANAKUBALIKA but Apson ambae alikuwa Mkurugenzi kwenye Report hiyo Ali koment kuwa Jamaa anakubalika lakini Hafai katika uongozi na Hataisaidia IDARA YA TISS kufikia Malengo..

Jk Alipo apishwa na kutinga ikuru alikutana na Barua ya kujiudhuru ya Apson...

"lawama lawamani"

Mkuu mods wamekuheshimu sana kukuita senior expert member try hard to live to that title. Maelezo unayotoa leo ni very irrelevant and untimely, ukiwa mjumbe wa vikao hivyo vya uteuzi ulishindwa vipi kupinga au hata kuhasi kwa kufichua siri hiyo if at all that happened. Acha uzushi mkuu.
 
And the next move he made ni kuisambaratisha TISS na wote waliompinga kwenye idara hiyo.Kila kinachotokea leo kilijulikana kuwa kitatokea kwani uwezo wake ulikuwa unajulikana tangu mwanzo.Kingunge ni GAMBA lingine tena GUMU sana ndani ya nchi hii.
 
kipindi hicho mwananchi keshapumbazwa na magazeti

Ilikuwa kazi ya kina Salva Rweimamu. Ila sasa wameshindwa maana zile ari, nguvu na kasi mpya walizokuwa wanatuimbisha kumbe zilikuwa na uwelekeo tofauti wa kuturudisha nyuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom