Mh. Juma Nkamia (MB) ni mshari na mtu mwenye dharau

hela za kujengea pale babayu alizihongea ubunge sasa anaingiwa presha kisikia posho zinapigwa stop.
 
Huyo jamaa ni mshamba sana. Nakumbuka alipoingia mjini miaka ya mwanzoni mwa 1990 alikuwa anakaa kwenye banda la uwani maeneo ya mwembechai, akiwa ndio kwanza ameajiriwa RTD. Sie wengine tulikuwa tunashangaa amepataje kazi huko kwani hata tulipokuwa tunajaribu ku-argue alionesha hana upeo kabisa. Hata elimu yake ni ndogo sana.
 
Alikuwa Makutupora Jkt B-coy.Alikuwa anajifanya mgongwa mwaka mzima alikuwa mlinda hanga wa kudumu.Nilikukwa D-coy 1992/93 nilikuwa namkuta humo nandani kalala ana linda hanga.
 
zito ni kichwa, jana alikua anaongea kwa takwimu ila huyo nkamia alikua hajajiandaa hata kidogo, hasa pale aliposema eti hizo posho zinawasaidia mafuta wakati wanasafiri kwenda majimboni na kuja bungeni, zito akasema lol ni uongo maana kila wakisafiri wanapeleka risiti wanalipwa pesa zao yeye kwa nini anatumia za posho, lol kilaza kweli huyu bwana.
 
Alikuwa Makutupora Jkt B-coy.Alikuwa anajifanya mgongwa mwaka mzima alikuwa mlinda hanga wa kudumu.Nilikukwa D-coy 1992/93 nilikuwa namkuta humo nandani kalala ana linda hanga.
Haaaa haaaa! Wakuu msameheni bure, hatarudia tena!
 
pia huyu jamaa ni muongo sana kuna wakati alisema yeye ni msemaji wa familia ya Khalfani Ngassa ALITUONGOPEA KUWA NGASSA, alitakiwa arudi Westham baada ya muda si mrefu kumbe Ngassa alikuwa ameshindwa majaribio katika timu hiyo, yote hayo aliyafahamu kuwa Ngassa asingerudi uingereza
 
Hivi mmesahau alipokuwa aktoa vijembe wakati akitangaza mpira timu yetu ya taifa ichezapo chini ya Maximo? Alihakikisha anamualika yule wamwitae supper coach wao na badala ya kutathimini mchezo wao anazungumza majungu dhidi ya kocha, kisa kipa wao Kaseja hayumo kwenye timu ya taifa.
 
ungetueleza vizuri kuhusu ukilaza wake na ninialikisema wakatiwanaojiwa bbc vinginevyo inatuwia vigumu kuchangia.
 
ukimlinganisha nkamia na zitto unakosea sana, uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana
 
Uwezo wake wa kuchambua mambo kwa kina ni mdogo sana, pia hiyo ni sifa moja wapo ya wabunge wa ccm wana sifa ya uhusika bapa hawabadiliki kulingana na mazingira.
 
Siku za nyuma nilipokuwa bado shuleni nilikuwa navutiwa sana na kazi ya utangazaji ya Juma Nkamia ambaye sasa ni Mh. Mbunge. Lakini nikawa napata shida kidogo kuhusiana na tabia yake ya dharau hasa panapotokea jambo la kujadili mada. Sikutilia maanani sana kwani sikuwa na muda wa kutosha kumfuatilia mara ka mara. Lakini hali hii ilidhihirika wakati fulani mwaka fulani aliingia mgogoro na aliyekuwa mtangazaji pia na Abdalah Majura kwenye issue fulani ya mambo ya uongozi wa michezo. Baada ya hapo nilikuwa namsikia na dharau zake kwenye mambo mbali mbali hasa kwenye utangazaji wa BBC kama sijakosea.
Jana tena (29.06.2011)akawa anahojiwa na BBC kuhusu posho meza moja na Zitto Kabwe. Yaani utajagundua ni mtu wa ku attack personality kuliko kujadili mada.
Mi binafsi nilikuwa na mheshimu sana lakini nimeona ni mtu wa ajabu kweli kweli hana sifa za kuwa kiongozi ni kheri angeendelea na mredio wao wa CCM Taifa (TBC

Ebwana unachokisema kuhusu Juma Nkamia ni kweli kabisa hata mmi sio mara moja au mbili niliwahi kumsikiliza akifanya mahojiano na wageni wanao waalika studio, huyu bwana anatia kichefuchefu kwa zile personal attack zake kiasi kwamba mwisho wa kipindi anaishia kumdhalilisha mgeni aliyemwalika, afu tabia nyingine ni kutokuwa na mpangilio mzuri wa kuuliza maswali yake kiasi kwamba muda mwingi anakatiza mazungumzo likini katika hili si yeye tu kuna wengine kama Makwaiya wa Kuhenga(Je, tutafika-Channel 10), Paul mabuga(Star Tv) wanakosesha raha ya kusikiliza mahojiano.
 
Back
Top Bottom