Mh. January makamba

I met him anauwezo wa kujenga hoja so labda the best position for him ni uprime minister unadhani mizengo angeachwa wapi since wao ndo wanahusika sana na ushaidi of some memorundum like MOA ya 1992
 
Kuna tetesi (zisizo rasmi) kuwa kuna uwezekano wa mh huyu kutorejea tena jimboni mwake 2015, sababu zilizopo ni ndizo zilizopelekea hata kutokuwemo kwenye cabinet iliyoapishwa hivi punde hapa Magogoni.
Lakini cha ajabu ni kwamba janki huyu mwenzetu amekuwa karibu saaana na mkuu wa nchi tangu walipokuwa MAMBO YA NJE na wakahamia wote pale magogoni, hatujui nini kimejificha baina yao ukizingatia baba ndie mtendaji mkuu wa chama TWAWALA.

Bwana, mimi nawashangaa ni kwa nini kwanza mnamjadili huyu bwana. January hafai hata kuwa mbunge. Ana kashfa kibao. January ametengeneza dili nyingi sana ndani ya Ikulu. Amechukua hela nyingi sana kwa wahindi

Nyie mnadhani Tsh. 600million alikuwanazo kwenye kampeni yake zilitoka wapi? Malaria NO more mnajua scandal yake au chanzo cha Scandal? Ruge Mutahaba na wengine kibao ndo dili za January... Kijana amejiingiza kwenye biashara chafu kweli

Jana kuna mchangiaji alitoa taarifa fulani alafu mod waka mban. Ukweli ni kwamba, mzee makamba aliamini mwanae angekuwa waziri, Kunyimwa hiyo nafasi kumemchanganya huyu mzee hadi akaanza kumshutumu mkuu wa kaya kwamba ni mtu asiye na shukrani.
Akasema iwapo Ridhi-One atajaribu kugombea chochote hatafanikiwa kwani naye ni fisadi mtoto na kuna njama kumung'oa kwenye umoja wa vijana CCM

Kwa kifui ni kwamba, Scandalz za January zitaibuka, au zingeibuka angepewa hata unaibu uawziri... kuna watu wenye mafaili kuhusu ufisadi wa January
 
I met him anauwezo wa kujenga hoja so labda the best position for him ni uprime minister unadhani mizengo angeachwa wapi since wao ndo wanahusika sana na ushaidi of some memorundum like MOA ya 1992
I think there is a need to vet some of brains joining JF... LOL
 
Kiranga, tukubali au tukatae, the guy is smart upstairs, japo enzi hizo akiwa Morogoro kabla Baba hajahamishiwa Kigoma kuwa RC, kijana alikuwa na issue yake fulani sensetive, ila kwa vile aliajiriwa foreign then Ikulu, verting itakuwa ilishamclear kitambo.

Hili la kurudi au kutorudi Bumbuli 2015 ni majungu tuu kwa sababu determinant factor ni performance yake kama mbunge, nothing more, nothing less.

Smart amefanya kitu gani hasa cha maana? ana IQ ya ngapi?
 
JF jamani wote hapa ni wakubwa sio under 18, Huyu January hata kama ni wewe baba yako mkubwa kwa vyovyote vile watu kibao wangekuwa wanakushabikia he is good in this and that, wtf, sisi watoto wa maskini kila siku we are trying to come up kwa ku husle, elimu kusaga ****** kwenda mbele wenyewe wamepata USA msalehe, eti smart guy, smart my ass, wengine kula yetu tu shida utakuwa smart gani? Bola mie niliyezamia ughaibuni na kubeba mibox na kuoa VIDIGITAL....
 
I met him anauwezo wa kujenga hoja so labda the best position for him ni uprime minister unadhani mizengo angeachwa wapi since wao ndo wanahusika sana na ushaidi of some memorundum like MOA ya 1992
jamaa smart wakati speeches mbovu za Kikwete ndo mazao yake? akili hiko wapi au kama siyo kwenye Konyagi?
Jamaa anamimina pombe kali kama maji. Tumechoka na hawa watu hasa familia za Kikwete na Makamba
 
One thing i liked about january makamba ni his Ideas na "ndoto" alizokuwa kuwa nazo kam angepata ubunge . Nilichofurahi zaidi ni yeye kukosa uwaziri sababu kwa kupata uwaziri zile ideas nzuri alizokuwa nazo ingekuwa kazi kuzifanyi kazi.

Nilichofurahi pia kwa kupewa uwaziri watanzania wote tungeona kabewa kupita kiasi.

Now its time for January Makamba ku relise ile bumbuli aliyokuwa ana "ota" kwa kufanikisha hata 30% ya bumbuli yenye magari ya kisasa ya kusfirisha matunda. bada ya hayo Nitapenda kuona anapanda kamajukumu zaidi na zaidi

Angalia Bumbuli leo na baada ya miaka mitano. It will be the same, nothing significant will change, tusidanganyane kuwa mbunge aliepita na wa sasa wanatofauti sana, the same will be the case kwenye majimbo mengi. kama serikali ya sasa iko as it is na sera za jumla za maendeleo ya nchi ziko as they are, sitegemei jipya sana.
 
Kiranga, tukubali au tukatae, the guy is smart upstairs, japo enzi hizo akiwa Morogoro kabla Baba hajahamishiwa Kigoma kuwa RC, kijana alikuwa na issue yake fulani sensetive, ila kwa vile aliajiriwa foreign then Ikulu, verting itakuwa ilishamclear kitambo.

Hili la kurudi au kutorudi Bumbuli 2015 ni majungu tuu kwa sababu determinant factor ni performance yake kama mbunge, nothing more, nothing less.

issue hipi hiyo ambayo vetting itakuwa imemclear? Au yale mambo yake yale ya kutumia BOB MARLEY aka WIDDA?
 
Angalia Bumbuli leo na baada ya miaka mitano. It will be the same, nothing significant will change, tusidanganyane kuwa mbunge aliepita na wa sasa wanatofauti sana, the same will be the case kwenye majimbi mengi. kama serikali ya sasa iko as it is na sera za jumla za maendeleo ya nchi ziko as they are, sitegemei jipya sana.

Kula 5. Baada ya miaka 5 tutaangalia kama kafanya lolote Bumbuli and judge him on that.
 
i am sorry to say that this is crap and probably wewe ni mmoja wa watu waliotumwa kuharibu kabisa JF

Nadhani humtendei haki mtoa mada.Crap kivipi wakati ameshasema ni tetesi (implying zinaweza kuwa kweli au si kweli)?Halafu ni crap kivipi ilhali mwenzetu hajatupa mawazo/habari mbadala inayothibitisha kuwa tetesi za mtoa mada ni madudu (crap)?Na ni vipi tetesi hizo zinaleta probability ya mtoa hoja kutumwa kuharibu JF?

Naamini mtu yeyote mwenye upeo wa kuelewa siasa za Tanzania atakuwa ameshtushwa na January kutowemo katika Kabineti ya JK.Sio tu kwa vile wawili hao walikuwa chanda na pete bali pia baba mzazi wa Januari (Luteni Yusuph Makamba) alishanukuliwa akijigamba kuwa mwanaye angeukwaa uwaziri.
 
Alishanukuliwa wapi? au umesoma Thread za kizushi Jamii Forum na kuja na conclusion yako.
 
Alishanukuliwa wapi? au umesoma Thread za kizushi Jamii Forum na kuja na conclusion yako.

Hata mimi mpaka sasa sijaiona hiyo nukuu mahala popote pale zaidi ya kutajwa tajwa JF.....

Halafu watu sijui kwa nini wanashangazwa na kutokuwepo kwa Januari kwenye baraza la mawaziri.
 
..let him prove himself before fellow mps and the public then he can be appointed to the cabinet.

..kinyume chake ataonekana kama ni "project Kikwete" his whole political career.

..there r some projects that he promised to initiate in his constituency. i dont want him later on to claim that he failed bcuz he had too much cabinet responsibilities to take care of.

.. this might be a blessing in disguise. what if he remains a back bencher, and become the voice of change in his own party and the country's politics.

NB:

..there r somethings that this kid has said or done, and i wish they came frm an opposition figure.
 
ving'aavyo vyote si dhahabu!kuwa naye muda mrefu haimpi mtu sifa ya kuwa kiongozi bora!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom