Mh!..hawa wanawake wa kimakonde..simply the best

jaynick

Senior Member
Apr 7, 2013
167
12
Jamani wanaume wenzangu wa mmu kuweni makini sana. This is exklusivu kwa mabachela kama mimi. Ukitaka kuoa jamani wala usihangaike. Chukua binti wa kimakonde ndugu yangu ufaidi nini maana ya kuwa na mke.

Wale watoto ni mafundi balaa. Wanajua kucheza na uwanja balaa yani messi na ronaldo wakalale.

Me nilijua utani banah ikanibidi ni 'pruvu' banah. Nikatafuta kabint kamoja ka kitaa banah...sheeeeeh...mbona niliacha wallet yangu pale na hata sikujutia.

Navyoandika hivi nipo ktk kikao cha harusi na nawakaribisha sana makapela wenzangu wa mmu. Infact mabinti wa kimakonde wanajua kukata mauno then mitindo huru kibao kupita hata ya wana hip hop. Hapana chezea makonde ladies.
 
Karibuni wenzangu wenye mabint wa kimakonde tuwape somo hawa vijana wanaokurupuka kuchukua wasichana wanao kaa kama gogo kwenye majamboz!
 
Mhhh kwa sis ambao hatuja oa mbona watutia majanga sana mkuu??
Hembu na mm nifanye kauchunguzi kidogo.hivi wamakonde na wazaramo wapi ni best??
 
mkuu wazaram kwa wamakonde hawafui dafu.
 
Jamani wanaume wenzangu wa mmu kuweni makini sana. This is exklusivu kwa mabachela kama mimi. Ukitaka kuoa jamani wala usihangaike. Chukua binti wa kimakonde ndugu yangu ufaidi nini maana ya kuwa na mke.

Wale watoto ni mafundi balaa. Wanajua kucheza na uwanja balaa yani messi na ronaldo wakalale.

Me nilijua utani banah ikanibidi ni 'pruvu' banah. Nikatafuta kabint kamoja ka kitaa banah...sheeeeeh...mbona niliacha wallet yangu pale na hata sikujutia.

Navyoandika hivi nipo ktk kikao cha harusi na nawakaribisha sana makapela wenzangu wa mmu. Infact mabinti wa kimakonde wanajua kukata mauno then mitindo huru kibao kupita hata ya wana hip hop. Hapana chezea makonde ladies.
Ila usiwe na wivu maana kwenda kwa jirani ni kama kawa
 
Kipofu kauona mwezi, akauchekelea.
Weka namba ya mpesa tukurushie mchango

Ningemshauri asubiri kidogo ndoa.........jamaa anaelekea ni mshabiki tu......siku atakutana na mashine nyingine hiyo pulling hatarudi kwa huyo mke/mmakonde wake.......Daslama hii noma.
 
Tatizo la wamakonde ni mafiga matatu na kwenye sindimba huko mpiga ngoma lazima apewe ila mila zao wanawaweka mwali ndani then wanawapeleka mkoleni kuwapa darasa.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Jamani wanaume wenzangu wa mmu kuweni makini sana. This is exklusivu kwa mabachela kama mimi. Ukitaka kuoa jamani wala usihangaike. Chukua binti wa kimakonde ndugu yangu ufaidi nini maana ya kuwa na mke.

Wale watoto ni mafundi balaa. Wanajua kucheza na uwanja balaa yani messi na ronaldo wakalale.

Me nilijua utani banah ikanibidi ni 'pruvu' banah. Nikatafuta kabint kamoja ka kitaa banah...sheeeeeh...mbona niliacha wallet yangu pale na hata sikujutia.

Navyoandika hivi nipo ktk kikao cha harusi na nawakaribisha sana makapela wenzangu wa mmu. Infact mabinti wa kimakonde wanajua kukata mauno then mitindo huru kibao kupita hata ya wana hip hop. Hapana chezea makonde ladies.

Pole sana kwakutumia kigezo kimoja na kuamua kuoa, wife material unaangalia factors nyingi sana
 
karibuni wenzangu wenye mabint wa kimakonde tuwape somo hawa vijana wanaokurupuka kuchukua wasichana wanao kaa kama gogo kwenye majamboz!

hapa ndo umeongea vizuri sasa,kumbe wewe ni mzazi wa mabinti wa kimakonde na unajaribu kuwapgia chapuo kwa vijana hapa,pole mkuu inawezekana mbinu yako ikashindwa kabisa.halafu fahamu kuwa NDOA NI ZAIDI YA KUNGONOKA.
 
Back
Top Bottom