Mh. Haji Mponda amuunga mkono Rais Magufuli ujenzi wa zahanati

acer

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
1,595
142
```Mh. Mbunge wa Jimbo la Malinyi Dr. Haji Mponda akishirikiana na wananchi wa kata ya Mtimbira wilayani Malinyi kufyatua matofali yatakayotumika kujengea wodi, maabara na theatre za kituo cha afya katika kumuunga mkono mh Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Dr. JPM.

Mh rais JPM amechangia zaidi ya tzs. 700M katika ujenzi wa kituo hicho.```
543f7f1a6f88dd8682ff93c7cd0a2cdf.jpg
049b56578e6c9d4e7c375ea2c13624c7.jpg
 
Dah, jamaa msafi kweli kweli aisee,
Uchangiaji wa aina ya "Show Off" unajulikana tu, haufanani kabisa na Uchangiaji wa mtu kuamua kujitolea kweli kutoka moyoni kusaidia Ujenzi.

Niulize tu, kuna siku ambayo Huyo Haji Mponda alishawahi kubebea tofali hivyo kukiwa hakuna kamera??
Siku hiyo alibeba Tofali ngapi??
 
Alibeba mbili tu za kuwekea ushahidi kuwa alishiriki
 
Alikuwa waziri wa afya "togwa" enzi za JK .Kumbe bado ni mbunge? Sidhani
 
Back
Top Bottom