Mh. G. Lema achafua hali ya hewa mbele ya Askofu Laizer

hapo kwenye maelfu tu ndo naona kuna shida! maana hawakuzidi 400 sasa maelfu mzeiya niaje niaje chaliiangu!!!

Hukuwepo acha uongo . walikuwepo zaidi ya watu elfu 4. Lile kanisa likijaa full ni watu mia 8 na kumbuka lilikuwa full in and out what are you trying to tell people here
 
Watu walikuwa wananong'ona kwa kushangaa mtu anayedaiwa kuwa ni mbunge kuongea pumba mbele ya hadhara kama ile tena katika mazishi..... Lema will never change, his poor education will always haunt him and cause disrepute to Arushans. Watu wa Arusha wamechoshwa na vitendo vya aibu anavyofanya kila kukicha.Thanks God haniwakilishi...nawahurumia waliopoteza kura zao.
Wewe ni hewa ndiyo maana hatufanani nawe kishongo
 
Back
Top Bottom