MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,304
Hii imetokea leo tarehe 12/6/2011 saa 9.00 Katika Ibada ya mazishi iliyokuwa ikiongozwa na askofu Laizer, Msaidizi wa askofu na wakuu wa majimbo katika Usharika wa KKKT Kijenge mbele ya mbunge wa Ngorongoro na M/Kiti wa CCM mkoa.
Katika Ibada hii alikuwepo Gaudence Lyimo embattled Meya wa Arusha na hapa ndipo drama ilipo anza pale Lema alipoambiwa atoe salaam za rambirambi kwa maelfu ya waombolezaji kutoka maeneo mengi ya manispaa ya Arusha akiwa msemaji wa mwisho. Baada ya salaam zake zilizojaa hekima na Busara aliwaonya wombolezaji na haswa MC aliyekuwa anamtaja taja Meya wa manispaa ya Arusha. Alipokuwa anamalizia akasema" nasikia mtu anayetajwa tajwa kama meya wa manispaa Arusha hapa; ninaomba mtambue kwamba mpaka sasa arusha hatujamchagua Meya na hatuna Meya". Hali hii iliwafanya vijana kushangilia huku Askofu laizer akabaki akiwa anatazama kana kwamba anasema' NO COMMENT'.
Hakuna aliye dilute maneno ya Mh. Lema kwani MC alichuku mic na kuendelea kuwatangazia watu utaratibu uliokuwa unaendelea huku minunguno ikitawala kwa kila mtu kutoa mtazamo wake kuhusu statement ya mh. Lema. wengine walimsifu kwa kuwa jasiri na wengine wakasema ameharibu. Je wewe mwana JF unasemaje kuhusu hiyo statement ya Lema.
Ibada hii ilikuwa ya mazishi ya Mkurugenzi wa kampuni ya Mbogo expedition Ltd ndugu Godwin Elihuruma Moleli a.k.a.Mbogo( 1975-2011) aliyefariki kwa kupata ajali mbaya ya gari usiku wa tarehe 9/6/2011 maeneo ya Moshono Manispaa ya Arusha