Mh. Freeman Mbowe atoa rambirambi juu ya kifo cha m/kiti Usa river

Mbowe Naomba hata nyie mkishindwa kwenye kesi basi na nyie mkubali na muache kulalamika au mkate rufaa bila lalama. CDM soliderity forever.

Mahakama haipaswi kucheza kamali kwenye swala la haki, mwenye haki aipewe tu hakuna kupindisha! Kuwavua ubunge wabunge wa ccm hakuifanyi hukumu dhidi ya mbunge wa arusha mjini Gobless Lema kuwa halali itaendelea kuwa batili tu hata kama wakiwavua wabunge wote wa ccm ubunge! Mark my words!
 
Freeman Aikaeli Mbowe
Kichama na wapenda haki wote
Tanzania tunayo masikitiko, uzuni
na majonzi ya kuondokewa na
mwanachama wetu/ kiongozi
wetu Mwenyekiti wa Usa river bw.
MWAMBO aliyeuwawa kinyama
huko mkoani Arusha, tuombe
Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema, pia natoa salamu
zangu za rambirambi kwa familia
na ndugu wa marehemu kuwa
tuko pamoja nao katika kipindi
hiki kigumu.
Naomba pia nichukue nafasi hii
kuishukuru Mahakama kuu kanda
ya sumbawanga kwa kutenda
haki, baada ya kutengua ubunge
wa aliyekuwa mbunge wa Ccm
bw. Aeshi Hilali jimbo la
Sumbawanga mjini kutokana na
kugubwikwa na ukiukwaji wa
sheria za uchaguzi.




Chadema mmechelewa sana kuishitaki SERIKALI tena wanachama wenu wataanza kuogopa KABISA WATU WANAUKUFA MMEKAA KIMYA, KWA VILE POLISI WETU WAMESHINDWA KUWAKATAMA HATA WALIOWAKATA MAPANGA WABUNGE WENU,

MSICHELEWE TENA PELEKENI KESI HII THE HAUGUE UHAOLANZI MAHAKAMA YA ICC MSHITAKINI IGP MWEMA KWA KUANZIA

IGP MWEMA NA KESI YA KUJIBU,


(MAUAJI ARUSHA SONGEA, WABUNGE KUKATWA MAPANGA MAUAJI ARUMERU, ARUSHA NK, FANYENI HRAKA VINGINEVYO VIONGOZI FANYENI TAKAFAKRI KAMA MNAFAA KUWEPO AU LA!! VINGINEVYO WATU ZAIDI WATAENDELEA KUUWAWA WHY HELA ZA RAMBI RAMBI NI NINI HASA!!!
 
Back
Top Bottom