Mh dunia imeisha.

Morgan james

Member
May 21, 2012
28
1
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
 
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.[/QUOT

Nimeona thread leo jinsi gani tuiboreshe MMU, mi napendekeza thread kama hizi zisiwe posted mana zinachefua
 
So let me get this straight,
Wewe kutakwa na 'Sugar mammy' mtaani kwetu ndo kunafanya dunia hii hii tuliyopo wote kwisha?
Kama tumeshakufundisha hadi kuandika kwenye keyboard umeweza, and you're still not matured to know how to deal with that then we give up!
 
fuata moyo wako, kama moyo wako usingekuwa na nia mbili hata usingekuja omba ushauri wa ishu nyepesi kama hii.
 
Nipe namba yake kijana nitoke nalo mzee mwenzie nyie vijana endeleeni na watoto wenzenu wabichi kabisa
 
Wanajf, hili nalo ni swali unahitaji kujibiwa au kushauriwa? Umetongozwa, angalia kama unapenda au hupendi, kisha fanya kitu roho yako inakuambia.
 
Mimi nimemsoma Kaunga kwahiyo nitajibu kwa kukushauri vyema...............
Kutokana na hali ya maisha ilivyo ngumu sasa hivi na ukizingatia hali ya kipato chako si nzuri (nimefanya observation kutokana na kujiuliza kwako mara 2 kumkubali jimama) mimi nakushauri umkubali huyo jimama. Lakini. Mosi, hakikisha kuwa she is loaded sio unaenda kutumika bure. Pili jilinde afya yako na ya jimama pia, nadhani njia za kujilinda unazifahamu, mi mkatoliki sikushauri Kondomu. Ni hayo tu. Asante ndugu Morgan james
 
Back
Top Bottom