Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Naangalia TBc1 hivi sasa. Mbunge wa viti maalum Diana Kilolo anamfagilia sana Eliakim Chacha Maswi, Katibu Mkuu Nishati na Madini, kwa utendaji wake mzuri kwa muda mfupi aliokaa wizarani hapo. Diana Chilolo ni Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya NIshati na Madini.
Huyu Maswi mimi binafsi namkubali ni jembe na ataisaidia Wizara ya Nishati na Madini.
Huyu Maswi mimi binafsi namkubali ni jembe na ataisaidia Wizara ya Nishati na Madini.