Mh. Diana Kilolo Amfagilia Maswe

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
Naangalia TBc1 hivi sasa. Mbunge wa viti maalum Diana Kilolo anamfagilia sana Eliakim Chacha Maswi, Katibu Mkuu Nishati na Madini, kwa utendaji wake mzuri kwa muda mfupi aliokaa wizarani hapo. Diana Chilolo ni Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya NIshati na Madini.
Huyu Maswi mimi binafsi namkubali ni jembe na ataisaidia Wizara ya Nishati na Madini.
 
Duh mheshimiwa Chilolo anasema Panafrican wamechukua shilingi za Kimarekani. Sijui hansard itaandika hivyo? Kesho itabidi nizisome nione imeandikwaje!
 
maswi eliakim chacha tunda halisi la mkoa wa mara,sio kimeo ka judge werema
 
Ni aibu kwa TPDC kuhitaji fedha(running costs) kutoka Wizarani... Zitto Kabwe..
 
Mi pia namkubali alipokuwa naibu katibu mkuu wa TAMISEMI,
kakazani wakaguzi wa ndani wa Halmashauri wapate magari ili kuwasaidia
kupambana na wala fedha wa Halmashauri
Naskia baadhi ya wilaya wamekabidhiwa magari hayo

BIG UP JEMBE!!!
 
Naangalia TBc1 hivi sasa. Mbunge wa viti maalum Diana Kilolo anamfagilia sana Eliakim Chacha Maswi, Katibu Mkuu Nishati na Madini, kwa utendaji wake mzuri kwa muda mfupi aliokaa wizarani hapo. Diana Chilolo ni Makamo Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya NIshati na Madini. Huyu Maswi mimi binafsi namkubali ni jembe na ataisaidia Wizara ya Nishati na Madini.

Kichwa kama hiki ndicho kilipaswa kikae pale Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sio wanatuwekea Shost wa Mariedo!
 
Kichwa kama hiki ndicho kilipaswa kikae pale Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sio wanatuwekea Shost wa Mariedo!
Naaam mkuu. Huyu kamanda ni mchapakazi halisi tangia akiwa shule. hana longolongo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom