Mgomo C2C Tv

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Fununu za mgomo c2c tv.

Wafanyikazi C2C TV production wanajiandaa kufanya mgomo baada ya bodi kuamua kutowalipa mishahara mwezi huu kwa kuandika barua inayosema kuwa tv haiilipi kampuni.

Pamoja na hayo, wafanyikazi hao wanalalamika hawajakuwa wakilipiwa nssf.

Kuna m2 wenye hii facts zaidi kuhusu info?
 
Mwisho wa dhuluma ni maumivu!
What did one expect toka kwa waajiri wa kishenzi like those guys!
Gomeni mpaka Kieleweke!
 
Fununu za mgomo c2c tv.

Wafanyikazi C2C TV production wanajiandaa kufanya mgomo baada ya bodi kuamua kutowalipa mishahara mwezi huu kwa kuandika barua inayosema kuwa tv haiilipi kampuni.

Pamoja na hayo, wafanyikazi hao wanalalamika hawajakuwa wakilipiwa nssf.

Kuna m2 wenye hii facts zaidi kuhusu info?

good move, je hiyo TV ina income ya kujiendesha? maana isije ikawa ndio adios tena
 
kwani hii taasisi inamilikiwa na nani ? naamini ni RA.

Nobody can give you RIGHTS. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it....PIGANENI MTAPATA HAKI ZENU.
 
mmekosa la kufanya na kuandika kila kitu sasa mnataka kumpa sifa huyu RA Mijitu mingine bwana ndio maana miafrika ndivyo ilivyo kila kitu RA hamuoni mnajitia kisrani bure kumtajataja ili hali dada zenu kila saa wanamzunguka na vimini
 
Back
Top Bottom