Mgombea wa CCM kata ya Kiborloni amejitoa

Hahahahahahaha, hiyo haitakuwa habari nzuri kwa kiongozi wetu NAPE aliyekuja kututukana badala ya kumfanyia kampeni mgombea wetu huyu.
 
Leta news frm the trusted source, hizo taarifa umezfanyia uchunguzi? Lumumba wakisikia hili presha juuu!
 
MMh ya kweli haya?? Ila mkuu Mungi huwa sina wasi wasi na taarifa zako..
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni habari ambazo nimezipokea kwenye text

Mgombea wa ccm Kiboroloni ametangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro leo
Tunajua kanuni za uchaguzi, hawezi kujitoa Leo uchaguzi ukifanyika kesho. Mbona mnavumisha yasiyowezekana ni kwa faida ya nani?
 
hahahahahahahahaha! . amesoma alama za nyakati huyo kaona asihaibike bora ajinasue mapema kuliko kupata kura yake na mke wake
 
Hebu tupe habari zaidi. Tena alionekana kuwa na kigugukizi siku Nape alipokuwa anamnadi?
 
Japokuwa Ngugi Wa Thiong'o alisema kukimbia tatizo si dawa ya kutatua tatizo, kwa upande wa wagombea wa CCM ni bora wakimbie kuliko aibu ijayo!
 
WatanI zangu CCM Mfuate ushauri wa mwenyekiti wenu ana macho na masikio mengi.
 
Back
Top Bottom