Mgombea wa CCM ArumeruMshariki hana Mke?

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,146
13,216
Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia

Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa
SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke?
 
Kiswahili sahihi maana yake hataki kuwa na mke au hatakuja kuoa milele daima! Ha! ha! ha! haa! Kaaazi kweli kweli
 
ukiunganisha majina yote ndio kasheshe........Sioi Jeremia Sumary...yaani hamuoi baba yake????
 
Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia

Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa
SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke?
Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili
 
Huenda neno Soi lina maana katika lugha ya kimeru. Usilitazame kwa kutumia miwani ya kiswahili[/QUOTE.....kumbe kiswahili kina MIWANI eeeehhh!!! looh, kazi kweli kweli
 
Hii tabia ya kuwapa majina watoto bilakufanya tafakuri inaweza kuathiri wengine kisaikolojia

Nauliza kuhusu jina la Mgombea kwa iketi ya Gamba A.K.A CCM Arumeru Mashariki anayeitwa
SIOI........maana yake nini? Je inawezekana Haoi/hana mke?

Ni jina 2 la kikwao n' not swahili, nyepesi nyepesi ni mkwe wa Kapteni ...............
 
Back
Top Bottom