Mgombea udiwani wa CHADEMA Arusha akamatwa na Polisi

mgambo wafanye kazi zao mchana na wasitumiwe kisiasa wananchi watajenga chuki dhidi yao ,wanasiasa fanyeni kazi zenu kistaarabu na kiungwana
 
wataendelea kuua hadi lini? Hongera kamanda kwa kuanza kazi mapema. Muumba atakuponya.
 
Hatutarudishwa nyuma na mpuuzi yeyote sisi tutaendelea kusonga mbele na kuwatetea wanyonge. Hongereni makamanda wa Arusha
 
Back
Top Bottom