leo nimeamini kama uzuri wa mtu upo machoni mwa mtuHamfikii J Shonza kwa ukali, ila anastahili kutuwakilisha!
leo nimeamini kama uzuri wa mtu upo machoni mwa mtuHamfikii J Shonza kwa ukali, ila anastahili kutuwakilisha!
Ni kweli hajawahi kuwa DC, ila ilizushwa humu JF. I know the lady, she's my friend...Ficha upumbavu wako...huyu dada hajawahi kuwa DC
Mbona huyu wa kawaida sana....mkuu ukifika kigali si utavunjika shingo?
Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
CCM ni ile ile!
Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
Swali la msingi sanaAmeolewa au bado eti?
Unatupa mashaka wewe sio bure,au ndio unataka kuufanyia kazi msemo wa kula ili uliwe?Wala sitaki kujua. Mimi najitolea kwa moyo usio na tamaa.... Aisee
mpende uliyenae nyumbani,
Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
....nangojea ageuuukeee oyaaaaaaa..........!! (Mwana Fa)
Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.