Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

19c60458db8176473e83a233d0c2bf6d.jpg
43b1ae3a5df55b040a93a775e6d7e42e.jpg


Naahidi kukupigia kampeni kwa gharama zangu.
3bb7ee636552e954da7ca2e2cc125888.jpg
Ukweli
 
Nikisoma mawazo ya mleta Uzi, naanza kuelewa vizuri alichosema Dr. Benson Ban, leo hapo redio clouds fm,

Kasema tupeleke watu wenye uwezo na siyo watu wa kujenga mahusiano , faida binafsi na hawaelewi chochote kuhusu EAC.

Akotolea mfano, wa Kenya kuwa inapeleka vijana ila wenye uelewa na waliosoma hapa Tanzania chuo cha uongozi.

Sasa, na sisi tujitathimini aisee kama tunawapigia watu kampeni kwa mionekano kwa kweli kazi bado tunayo ya ziada.
 
Kwa nini anagombea?
Ana elimu gani? CV yake?
Ana weredi katika nini?
Nini Maono yake dhidi ya ugombea wake?
Tutalajie nini kama taifa toka kwake?
Maisha yake binafsi kimaadili yanaakisi utashi wa kiuwakirishi?
Anaweza kujisimamia,kusimamia maslahi ya taifa?
Amefanya nini kabla ambacho taifa laweza kujifuvua {creativity,Vision,Innovativeness,Patriotism,etc}
 
Kwa nini anagombea?
Ana elimu gani? CV yake?
Ana weredi katika nini?
Nini Maono yake dhidi ya ugombea wake?
Tutalajie nini kama taifa toka kwake?
Maisha yake binafsi kimaadili yanaakisi utashi wa kiuwakirishi?
Anaweza kujisimamia,kusimamia maslahi ya taifa?
Amefanya nini kabla ambacho taifa laweza kujifuvua {creativity,Vision,Innovativeness,Patriotism,etc}
 
Back
Top Bottom