Mgombea CCM kutojipigia kura Arumeru Mashariki

Mwakiluma

Senior Member
Jan 23, 2012
120
47
...Kutokana na sheria za tume ya uchaguzi Siyoi Sumari hana uhalali wa kupiga kura tar. 1/4....sheria inataka mtu apige kura mahali pale alipojiandikisha wakati wa kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura..
Wakati wa kuandisha wapiga kura Siyoi Sumari hakuwepo arumeru mashariki hivyo haruhusiwi kupiga kura mara itakapofika tar. 1/4...huyu sasa ni mgombea wa pili kutoka ccm ambaye hatajipigia kura katika uchaguzi ambao yeye mwenyewe ni mgombea...wa kwanza alikuwa ni Rais wa Zanzibar Mh. Dk. Mohamed Shein...huyu naye hakujipigia kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao yeye mwenyewe alikuwa mgombea wa urahisi...yeye wakati wa kujiandikisha alijiandikishia oysterbay Dar es salaam swala ambalo lilizusha maswali mengi kwamba alikuwa hajui kama angegombea nafasi hiyo kubwa katika siasa....Kitendo cha Sumari kutojipigia kura mwenyewe kunaonyesha jinsi gani ambavyo hatakiwi kupigiwa kura maana hata yeye mwenyewe hatajipigia....
 
ila wameru wameonewa kweli............. yani siku ya wajinga wao ndio watakua bize, tume hii aisee:A S 13::A S 13:
 
Huyu ni kutupiwa baharini tu aliwe na papa! Chupa mpya pombe ile ile.
 
SIOI hahitaji kujipigia kura ili ashinde. SIOI anahitaji kura za NEC ya CCM ili ashinde. Hata kura za wana Arumeru hazihitaji mtaji wake ni Judge Damian Lubuva.
 
ila wameru wameonewa kweli............. yani siku ya wajinga wao ndio watakua bize, tume hii aisee:A S 13::A S 13:

I don't believe in coincidence, this is deliberately move by NEC. Mark my words April MOSI magazeti yote ya Magamba UHURU, JAMBO LEO, MZALENDO yatakuja na heanding kama
Joshua Nassari ajitoe uchaguzi Arumeru
Uchaguzi wa Ubunge Arumeru waahilishwa
Joshua Nassari ahamia CCM
NEC imefuta jina la Joshua Nassari (CDM) katika orodha ya wagombeaji ubunge wa Arumeru

Halafu heading kama hizo zitapewa umuhimu na TBC1, TBC radio, radio Lowossa ya Arusha, Clouds FM. Wananchi wa Arumeru wakija shituka kwamba ni April MOSIsiku ya WAJINGA duninia VITUO vya kupigia kura vitakuwa aidha vimefungwa au vifaa vya kupigia kura vimekwisha. Kumbuka CCM ambavyo huwa wanahimizana kuwahi kupiga kura USIKU wa kuamukia kupigaji kura!
 
kweli nimeamini nchi hii itakombolewa mara tu baada ya watu wote kama wewe kufa....lazima nyie wote mfe...tunahitaji bongo zinazochemka...kama siyoi anategemea kura za Lubuva ni sawa maana hata Masha kure mwanza alitegemea kura za kiravu hata hivyo Nguvu ya Umma ikamtupilia mbali....kama kweli Siyoi Anategemea kura za Lubuva basi hakuna haja ya kupiga kampeni na tayari ameshashindwa...
 
SIOI hahitaji kujipigia kura ili ashinde. SIOI anahitaji kura za NEC ya CCM ili ashinde. Hata kura za wana Arumeru hazihitaji mtaji wake ni Judge Damian Lubuva.

Sawa mkuu ila Nassari mtaji wake ni umma wa Meru na penye wengi pana Mungu, laana ya ufisadi inawamaliza magamba, naliona anguko kubwa la CCM kadri siku zinavyokwenda
 
ila wameru wameonewa kweli............. yani siku ya wajinga wao ndio watakua bize, tume hii aisee:A S 13::A S 13:

Inawezekana ni moja ya tacticks za magamba, siku ikifika watawarubuni watu kwa namna fulani ukizingatia siku yenyewe ni ya wajinga
 
...Kutokana na sheria za tume ya uchaguzi Siyoi Sumari hana uhalali wa kupiga kura tar. 1/4....sheria inataka mtu apige kura mahali pale alipojiandikisha wakati wa kuandikisha wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura..
Wakati wa kuandisha wapiga kura Siyoi Sumari hakuwepo arumeru mashariki hivyo haruhusiwi kupiga kura mara itakapofika tar. 1/4...huyu sasa ni mgombea wa pili kutoka ccm ambaye hatajipigia kura katika uchaguzi ambao yeye mwenyewe ni mgombea...wa kwanza alikuwa ni Rais wa Zanzibar Mh. Dk. Mohamed Shein...huyu naye hakujipigia kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ambao yeye mwenyewe alikuwa mgombea wa urahisi...yeye wakati wa kujiandikisha alijiandikishia oysterbay Dar es salaam swala ambalo lilizusha maswali mengi kwamba alikuwa hajui kama angegombea nafasi hiyo kubwa katika siasa....Kitendo cha Sumari kutojipigia kura mwenyewe kunaonyesha jinsi gani ambavyo hatakiwi kupigiwa kura maana hata yeye mwenyewe hatajipigia....

hii itumike kama silaha ya kuchukua kura za CCM
 
Hivi kweli wana wa Arumeru watakuwa tayari kumpigia kura SIOI, wakati mwenyewe hatajipigia! Fikirieni kwa makini wana wa Arumeru.
 
mods unganisha na ile nyingine

Hapana mods naomba usiiunganishe hii na ile nyingine...hii ni ya kiuchunguzi zaidi na inatoa uhalisia...ile nyingine inauliza tu...lakini naomba nisisitize kuwa wote mimi na wewe tunalima shamba moja hakuna haja ya kugombania ufito....
 
Watakaoipigia ccm nawafananisha na wale wa enzi za uhuru kuchagua kati ya picha na Giza...picha ni Joshua Nassari na giza Sioi Sumari.
 
I don't believe in coincidence, this is deliberately move by NEC. Mark my words April MOSI magazeti yote ya Magamba UHURU, JAMBO LEO, MZALENDO yatakuja na heanding kama
Joshua Nassari ajitoe uchaguzi Arumeru
Uchaguzi wa Ubunge Arumeru waahilishwa
Joshua Nassari ahamia CCM
NEC imefuta jina la Joshua Nassari (CDM) katika orodha ya wagombeaji ubunge wa Arumeru

Halafu heading kama hizo zitapewa umuhimu na TBC1, TBC radio, radio Lowossa ya Arusha, Clouds FM. Wananchi wa Arumeru wakija shituka kwamba ni April MOSIsiku ya WAJINGA duninia VITUO vya kupigia kura vitakuwa aidha vimefungwa au vifaa vya kupigia kura vimekwisha. Kumbuka CCM ambavyo huwa wanahimizana kuwahi kupiga kura USIKU wa kuamukia kupigaji kura!

What I like about,..................... JF we think differently
Wewe ukijua A wenzako wanajua hadi Z
 
Sijui kama kuna upendeleo maalimu labda anaweza ruhususiwa ajipigie kura kwani mshkaji ganda lake linasoma mbezi,dogo kazi anayo kwakweli,haya bwana mdogo hebu tuthibitishie kweli meru ulikuja kwa ajili ya maziko tu?na sio home kama unavyotaka tuamini.nipo tayari kwa safari ya kwenda arusha kumpa nasari tiki,bonge la kampani tupo post graduate kama wanne wa makumira na wengine kibao kutoka dar moro na mbeya.
 
Back
Top Bottom