jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
chumi za mataifa makubwa hazitaweza kuwa rescued bila ya kuja Africa.Huo ndo ukweli.Silaha watauza na rasilimali watabeba.Kuna movement ya ku invest Africa ili kukomboa chumi zao.Sasa tatizo lipo kwetu...Tena vile tuna rais kama huyu,hakuna lolote litakalowanaufaisha wananchi wa kawaida.