Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,603
- 29,748
Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata hisia kwamba MGAO wa UMEME umerudi upyaa na hawawezi kuutangaza ili kuilinda ccm isipoteze kura.
I wapi ahadi ya Kikwete kwamba muda mfupi ujao tatizo la umeme litakuwa historia???? alisema 2005 kabla hajazoa kura zetu.
Kama kuna wazalendo huko tanesco watueleze kinachojiri mpaka tunakosa umeme bila taarifa tena kwa muda mrefu