mgao wa umeme umesababisha baadhi ya maeneo kuwa gharama zaidi kupanga nyumba!

binti ashura

Senior Member
Jan 14, 2011
118
19
kwa mitaa kama ya chuo cha usimamizi wa fedha dsm, boma road morogoro (kuelekea kwa mkuu wa mkoa), isanga mbeya na maeneo ya jirani ambayo huwa hayakumbwi na maumivu ya mgao wa umeme yamekuwa yakiuzwa au vyumba katika maeneo hayo kupangishwa kwa bei kubwa kwasababu kuna umeme wa uhakika. je kwasasa ni wakati muafaka kuhamisha hamisha ikulu ili sehemu zote zinufaike umeme kwa awamu?
 
Back
Top Bottom