Mgao wa umeme huoooo tena

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Sasa mgao wa umeme umerudi tena! kama bado mlikuwa kwenye mgao , basi umeme huo huo kidogo tulio kuwa tunawagawia mwanzo tunaugawa tena na tena!!

na kwa wale wasio na power stablelizer chondechonde...hatutaki lawama maana power regulator yetu imeungua pale ubungo mpaka tuagize nyingine italia.

tanesco!
 
nashangaa tulikuwa wala hatujaumaliza huu magawo ulioanza september, sasa umeanza mwengine....
 
Back
Top Bottom