Mie Huwa ninafanya Shughuli zangu mjini usiku nakurudi nyumbani kwangu mapema sana alfajiri , kwakuwa nikitoka kazini nataka niweke kitu tumboni na kisha nimpumzike kwa uchovu wakazi. kuna mgahawa umefunguliwa maeneo ya tungi msikitini njia panda ya kwenda kisiwani. chai yao inakuwepo tokea saa 11:45 asubuhi pamoja na supu. hivyo hii ni faraja sana kwetu tunao vuka asubuhi asubuhi.