Mfanyakazi wa usafi kwenye hosteli anahitajika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,447
Mfanyakazi wa usafi anahitajika. Atakuwa anafanya usafi kwenye hosteli

Mahali: Mtoni Kwa Aziz Ally

Sehemu ya kulala bure, aje na begi lake na nguo zake tu.

Jinsia: KE
Hakuna kigezo cha umri.
Mshahara wa kuanzia ni 100k
Kikubwa awe na akili timamu na mchapakazi

Piga simu : 0694139204


AMESHAPATIKANA
 
Watakuja mkuu japo haujaweka kiwango cha mshahara na mambo mengine kama kula na maradhi
 
Ushauri tu.

Kwa pesa hiyo haitoshi hata mtu Kula mwezi mmoja achilia mbali kununua sabuni.

Tafuta mtu aliemaeneo karibu na hapo ili akimaliza kufanya shughuli za hapo, akaendelee na shughuli zingine ili kuepuka kuibiwa mali zenu hapo ofisini.

Vilevile utakuwa umemsaidia mtu huyo kuongeza vyanzo vya pesa.

Uwe na majukumu mema mkuu!

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Mfanyakazi wa usafi anahitajika. Atakuwa anafanya usafi kwenye hosteli

Mahali: Mtoni Kwa Aziz Ally

Sehemu ya kulala bure, aje na begi lake na nguo zake tu.

Jinsia: KE
Hakuna kigezo cha umri.
Mshahara wa kuanzia ni 100k
Kikubwa awe na akili timamu na mchapakazi

Piga simu : 0694139204
Bado unahitaji mfanyakazi kaka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom