off coz wewe unafaaa cozNIPO TAYARI mashariti uniajir, unikatie bima, mimi na mke wangu, bibni yangu na mbwa wangu!
ahahaaaaa kweli bma safiiioff coz wewe unafaaa coz
1:wewe utakua unamenya viaz
2:mkeo anakaanga
3:bibi ako atakua ana hudumia wateja
4:mmbwa wako atalinda ucku
umesema ukweliMiaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
Kweli mkuu mpaka wanaboa too badMiaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
UJE NA MAMA YAKO PIA NTAMUAJIRI KAZI YAKE IWE KUNIPETI PETI HUKU MKEO AKIWA ANANIMASAGE NA WW UWE UNALAMBA KONI TARATIBU
Mbona twapenda lawama hivi sisi waswahili, sasa hizi si ndo faida zenyewe za Internet, wewe ukiona haikuhusu pita tu.Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
Nilikuwa namjibu yule ambae anaeleta dharau ktk huu uzi ambao muanzilishi anaomba msaada wa kutafuta mtu wa kazi, halafu wengine wanajibu kwa kuleta utoto ktk jambo muhim km hilo linalo husu utafutaji.Mbona twapenda lawama hivi sisi waswahili, sasa hizi si ndo faida zenyewe za Internet, wewe ukiona haikuhusu pita tu.
hahaa mkuu umemjibu kisomi zaidioff coz wewe unafaaa coz
1:wewe utakua unamenya viaz
2:mkeo anakaanga
3:bibi ako atakua ana hudumia wateja
4:mmbwa wako atalinda ucku
Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.
Usipende kukariri eti Facebook inatumiwa na vitoto, Facebook inatumiwa na watu wa rika zote! Kuna watu wazima humu wana hekima na busara zao, lakini wameijua Jamiiforums kupitia Facebook.
Mkuu tatizo wewe kila kitu unachukulia serious. Sasa hao watoto si ndio watu wazima wa baadae.Miaka ya nyuma ilikuwa huwezi kukuta wasiojielewa hapa jamii forum, sasa hivi vitoto vote vya facebook vimehamia humu, ni tabu sana hata mtu akihitaji msaada wa kimawazo inakuwa upuuzi tu kwa wachangiaji wasioelewa maana ya mitandao jamii.